Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Its 2-0Ulikuwa shimoni baada ya ushindi wa ndondokela ndio unajitokeza
Kujua kwangu kuna kuuma sana? Kama mtu anajua, anajua tu
By the way hata baada ya kufungwa nime comment hivyo soma post zote kama unapenda sana kupata maoni ya anayejua
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kweliMkuu kwani hujui jana kulikuwa na janga kubwa la upepo. Kuanzia ile mechi ya mchana malalamiko yalikuwa mengi (kumbuka na goli la kona kwenye mechi ya liverpool lililoingia lenyewe kwa kusukumwa na upepo) Mechi za jana mipira ilikuwa ikikatika sana. Lile goli la deGea upepo uliuvuta mpira ukahamia direction nyingine. Ndicho alichokuwa analalamikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooooo maana niliona alifanya timing ya kushoto ila mpira ukaenda kuliaMkuu kwani hujui jana kulikuwa na janga kubwa la upepo. Kuanzia ile mechi ya mchana malalamiko yalikuwa mengi (kumbuka na goli la kona kwenye mechi ya liverpool lililoingia lenyewe kwa kusukumwa na upepo) Mechi za jana mipira ilikuwa ikikatika sana. Lile goli la deGea upepo uliuvuta mpira ukahamia direction nyingine. Ndicho alichokuwa analalamikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi,
Mimi nimejumuisha wana man u wengi waliovamia Uzi wetu toka Jana wakitusumbua kuwa lazima mshinde
Ila Leo sikuwa na wasiwasi kabisa nilijua lazima tufie uwanjani
Miaka yote huwa hivi, hata muhindi Aliwaua leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga keleleHamna utetezi hapo
Mpira ni mchezo wa hadharani, kila nilichoongea ndio kilichojiri
Inaonekana ule uchambuzi wangu ulikuuma sana underdog
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa msimu unaelekea futuhi ,EPL Top 4 contender
FA quarter finalist
UCL quarter finalist
How the hell is that supposed to be death?
Vipi kwa wale ambao hawapo hizo hatua?
Wao wameoza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutapatapaAkiba ipi Mkuu
Kuna neno lisilo la kweli hata moja hapo
Kila nilichosema ni cha kweli
Jana was just not our day
Wamefunga magoli ambayo katikà siku ambayo tupo kwenye kiwango chetu tusingefungwa na tumekosa magoli ambayo siku tupo kwenye kiwango chetu tusingekosa (rejea kusoma tena hiyo post, utaona nimeongea kitu cha namna hiyo)
Ndugu yangu watu hatujaanza kufuatilia mpira jana
The next stop Wolves, quarter final FA ..... Siku moja baada ya draw ya UCL quarter final
Sent using Jamii Forums mobile app
2-0 will just last to people's memory for few days to come
PSG kanifunga kabla ya Arsenane, bikira inatolewaje mara 2Piga kelele
Lakin ndio ushabakwa
Unaleta uchambuzi uchwara, haya yako wapi, Oho lazima mshinde ,mbwembwe kibao
Sasa hiv unalamba matapish yako
Ndio ushabikiriwa sasa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe mbona kila siku unabakwa na UnitedAcha kutapatapa
Eti hamkuwa kwenye kiwango chenu
Kwanini usiseme mlibakwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya leo ilikuwa muhimu sana kwa mbio za Top 4 kwa Manchester.Ila kila mshabiki wa Man anajilisha upepo kuwa hajaumia.Hakuna sababu ya maana kama Ole atashindwa kuingia top 4 mkaenda Europa.Sijui sababu ya kumfukuza Mourinho itakua ni nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi 6 pale emirates, Man Utd won 6, Arsenal won 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Same like me mkuuKwa upande wangu mi sijaumia kupoteza hii mechi kwanza tulikuwa na mech kubwa nyingi mfululizo na zote tulichomoka arsenal ilikuwa lazima wajitetee tumebamiza sana pale
Kwangu mimi poa tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Basi tufanye 2-2Mkuu wewe mbona kila siku unabakwa na United
Umewahi kubakwa na Wanaume 8 2011
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona matokeo yakana yamekuwehushaPSG kanifunga kabla ya Arsenane, bikira inatolewaje mara 2
Uchambuzi uchwara unaokunyima usingizi,
Upo bize ku quote uchambuzi uchwara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia matokeo ya Jana2-0 will just last to people's memory for few days to come
But 8-2
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeangalia mechi ya leo???? UNAMLAUMU FRED MECHI YA LEO!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi katka uwanja wa Emirates kati ya Arsenal na UnitedMkuu, hizo hesabu nimeshindwa kuzielewa!