Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bila penalty hamushindi kabisa..

Leo refa kawakataa...

Tunakuja apo OT...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine ukumbuke kuweka akiba ya maneno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujipa Moyo muhimu,ila ndio mshakufa .
 
Njoo uchambue tena baada ya haya matokeo ya Leo

Muwe mnaacha ujuaji, mpira hauchezwi mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya ule uchambuz wako fake kuwa mnashinda ukitoa sababu kibao kufeli

Umekuja na utetezi huu

Kwa taarifa tu top 4 bye bye

Mwakan futuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu mi sijaumia kupoteza hii mechi kwanza tulikuwa na mech kubwa nyingi mfululizo na zote tulichomoka arsenal ilikuwa lazima wajitetee tumebamiza sana pale

Kwangu mimi poa tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mechi ya leo ilikuwa muhimu sana kwa mbio za Top 4 kwa Manchester.Ila kila mshabiki wa Man anajilisha upepo kuwa hajaumia.Hakuna sababu ya maana kama Ole atashindwa kuingia top 4 mkaenda Europa.Sijui sababu ya kumfukuza Mourinho itakua ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila sijaelewa kwanini leo mctominey ajacheza kabisa au ni injury
 
Hamna mkuu ni mechi tu ilivyokuwa mi nalia na viungo tu akicheza herrera au scott huonu ujinga wa leo


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu unapotembelea emirates hujawahi kucheza vzr pale kati hata kama utapata matokeo

Kubali Leo zile counter attack zenu hazijafanya kazi

Unadhan angekuwepo huyo Herrera , ungetawala kiungo?

Hata ile mech ya FA bado kiungo ulipotea ,bila ukawin kwenye counter

Kitu ambacho Leo tumekiziluia kwa asilimia kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…