NipoooooooooooooooooSubiri, Usiondoke, Kaa Hapo hapo
Tatizo utapotea baada ya mechi ya Mbweha![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakuwa mmemaliza gameTunawapiga LA pili,
Tunawaacha muendelee na counter attack zenu za kuvizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo emirate ,kati huwez kucheza hata uingize naniAtoke Fred aingie Scott McTominay pale kati kusaidia kuwazuia Asernal wasipande sana...
Hahahahaha nasubiri apa na leo mtambeeKaka hizo ni tambo za mashabiki na raha ya mpira ipo kwenye hizo tambo. Yaani wewe unasubiri mpaka utakapo chukua kombe ndo uwe na tambo? Namna hiyo mpira usingekuwa dili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unafikiri kila wakat matokeo ya mpira yanaamuliwa na bahati, basi Man United leo tunastahili ushindi.
Leo mnabebwa ila kichapo lazimaKama unafikiri kila wakat matokeo ya mpira yanaamuliwa na bahati, basi Man United leo tunastahili ushindi.
Poleni sana...tunaomba muwafunge man city2-0
Dalot out Martal in.
Naomba iwe mechi ya mwisho hii kwa Dalot kuanza, ametukaba sana, wing ya kulia haina nguvu kabisa pumbaffff....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mnabebwa, penalty ya bure kabisa!