Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Masters of mind
Screenshot_20190310-124759.jpg
 
Kuna watu walikua wanamtaka pochetino ndio am replace jose Felix Mourinho

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa mimi ni mmoja wapo, tena wala si kitu cha kuchekesha..!!

Tena hapa nikiri ni mmoja wa tuliomtaka kwa udi na uvumba Mr Mourinho, ila si kama kocha wa kudumu bali wa muda mfupi kwaajili ya kurejesha heshima ya timu baada ya kuflop kwa miaka minne mfululizo kipindi cha Mr Macho na LVG. Sote tunajua Mou ni mtu anayetengezeza timu ya mafanikio kwa muda mfupi na kamwe si kwa muda mrefu.. ni bahati mbaya kwamba Bodi ilimuongezea mkataba baada ya mafanikio kwenye Europa.

Nikija kwa Poch,
Poch ni mjenzi wa timu haswa... ni mkufunzi wa mpira wa kushambulia falsafa ambayo Man u ndio mpira wetu. Ni Meneja ambae mafanikio yake yameonekana wazi tangu akiwa huko Southampton mpk hii leo hapo Tot.. tumeona kwa miaka minne namna ambavyo Tot wamekuwa washindani wa kweli kwenye league na hata Ucl tena kwa bajeti ndogo na ya kawaida tu, ni bahati mbaya wamekosa vikombe kipindi chote hicho nadhani ni uzoefu tu ndio unawasumbua na hili tunaliona hata kwa kocks kwenye league.

Kwa OGS (naheshimu sana kazi yake)
Lakini simuoni kama ni kocha wa kudumu wa Man u, Ogs amechukua timu kipindi ambacho kila mchezaji alishamchoka kama si kugombana na Mou, Morali ya timu ilikuwa chini kupita maelezo... ilifikia kipindi hata Man u ikicheza na Crystal palace mtu unaangalia mpira kwa kutetema kwa hofu ya kufungwa muda wowote.. Hili Ogs amelitumia kama fulsa ya kuinyanyua timu.. So ni kama Ogs amewaruhusu tu wachezaji kufanya wanachokita uwanjani.. lakini kwahakika mpaka leo bado hajapandikiza zile mbinu za kocha ambazo kila mtu ataona hapa bila kocha flan pengine tusingeshinda.. ama tungefungwa.

Ukitaka kuliona hili kwa uwazi hebu angalia pale man inapocheza na timu za top 5 kwenye league na mechi mbili za psg. Utaona wazi kwamba licha ya kwamba timu inashinda lakini inapata shida sana kuupata ushindi huo kitu ambacho hakikuzoeleka kipindi cha babu feggie.. unajua kama tunataka timu ifanye vizuri tusimpimie Ogs na hawa kina Macho,Lvg na Mchonga.. kipimo sahihi kwa Ogs kiwe kwa Feggie. Ogs mpaka sasa bado hajafanya usajiri wowote licha ya hapo January kuwepo kwa dirisha la usajili na namna timu ilivyokuwa sote tunafahamu. So kwa namna nyingine namuona ni muoga anaogopa lawama.

Nikisema haya si kwamba simuheshimu OGS wala kwamba nampinga ila nabaki palepale kwenye point yangu kwamba ninaona si kocha sahihi kulinganisha na Poch haya ni maoni yangu mkuu nadhani hata wewe unamtazamo wako... tusilewe sana na huu upepo wa muda mfupi... tukumbuke kunakipindi matokeo ya upepo hupita zinabaki hali ngumu.... sioni shabiki wa kusimama na Ogs pindi tutapopata labda sare tatu mfululizo na vichapo kadhaa... (nyakati hizi zipo) ni kweli tutaendelea kumuunga mkono? Au tunaangalia hapa..... bila kuona kuleeee....

UNITED WE STAND

Zidane ilikuwa hivi hivi.... Watu wengi walimuona hawezi kui-manage Madrid kwa mafanikio.

Kilichotokea sote tunakifahamu

Haumuamini tu ole kwakua ndo anaanza career yake kwenye timu kubwa..sio tu morali kwa wachezaji ila ole anaifaham utd vzr na anajua kukaa na wachezaji vzr...hata kama hatokaa milele lakin ile heshima ya timu itarudi.kwaio tuendelee nae tu huyuhuyu.....ningekuwa napata wasiwasi kama ole asingekua utd product
 
Anaenda wapi huyo, atacheza wapi sasa. Au ndio kuja kutuvurugia timu kama sanchez alivyofanya.
Matokeo ya kusajili majina tunayo,

Sent using simu mbovu
KABISA mkuu,moja ya sababu za kufika hapa tulipo leo(man u) Ni suala la kununua wachezaji hovyo(sajili zilizo feli), mchezaji anaweza kuwa MKUBWA Sana ila Kama hamkuwa na plan naye anakuja kuwa mzigo TU......
Man City wako vizuri Sana KWENYE sajili zao(wananunua wachezaji wengi wa Bei za Kati kwa plan nzuri) Hadi sasa wametumia zaidi ya 670milion pound tangu 2015, Man u katumia pia zaidi ya 600 milion pound kwa kipindi hicho ila tofauti ya nguvu ya vikosi Ni kumbwa mno.......

Mi nadhani man u inakulupuka kusajili, na ndio kitu ambocho hata Mou kagombana na Ed wood anataka beki wa 70pound milion ili akajilindi asifungwe na Burnley, Bournemouth na hata Watford wakati Ana lukaku 70+milion pound, Pogba 80, Sanchez 350+ salary per week.sajili zilizo kufa de Malia 70+ milion pound, de pay 50+..
Na Bado timu iko hoi......
Man U tujitafakari sajili zetu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa mimi ni mmoja wapo, tena wala si kitu cha kuchekesha..!!

Tena hapa nikiri ni mmoja wa tuliomtaka kwa udi na uvumba Mr Mourinho, ila si kama kocha wa kudumu bali wa muda mfupi kwaajili ya kurejesha heshima ya timu baada ya kuflop kwa miaka minne mfululizo kipindi cha Mr Macho na LVG. Sote tunajua Mou ni mtu anayetengezeza timu ya mafanikio kwa muda mfupi na kamwe si kwa muda mrefu.. ni bahati mbaya kwamba Bodi ilimuongezea mkataba baada ya mafanikio kwenye Europa.

Nikija kwa Poch,
Poch ni mjenzi wa timu haswa... ni mkufunzi wa mpira wa kushambulia falsafa ambayo Man u ndio mpira wetu. Ni Meneja ambae mafanikio yake yameonekana wazi tangu akiwa huko Southampton mpk hii leo hapo Tot.. tumeona kwa miaka minne namna ambavyo Tot wamekuwa washindani wa kweli kwenye league na hata Ucl tena kwa bajeti ndogo na ya kawaida tu, ni bahati mbaya wamekosa vikombe kipindi chote hicho nadhani ni uzoefu tu ndio unawasumbua na hili tunaliona hata kwa kocks kwenye league.

Kwa OGS (naheshimu sana kazi yake)
Lakini simuoni kama ni kocha wa kudumu wa Man u, Ogs amechukua timu kipindi ambacho kila mchezaji alishamchoka kama si kugombana na Mou, Morali ya timu ilikuwa chini kupita maelezo... ilifikia kipindi hata Man u ikicheza na Crystal palace mtu unaangalia mpira kwa kutetema kwa hofu ya kufungwa muda wowote.. Hili Ogs amelitumia kama fulsa ya kuinyanyua timu.. So ni kama Ogs amewaruhusu tu wachezaji kufanya wanachokita uwanjani.. lakini kwahakika mpaka leo bado hajapandikiza zile mbinu za kocha ambazo kila mtu ataona hapa bila kocha flan pengine tusingeshinda.. ama tungefungwa.

Ukitaka kuliona hili kwa uwazi hebu angalia pale man inapocheza na timu za top 5 kwenye league na mechi mbili za psg. Utaona wazi kwamba licha ya kwamba timu inashinda lakini inapata shida sana kuupata ushindi huo kitu ambacho hakikuzoeleka kipindi cha babu feggie.. unajua kama tunataka timu ifanye vizuri tusimpimie Ogs na hawa kina Macho,Lvg na Mchonga.. kipimo sahihi kwa Ogs kiwe kwa Feggie. Ogs mpaka sasa bado hajafanya usajiri wowote licha ya hapo January kuwepo kwa dirisha la usajili na namna timu ilivyokuwa sote tunafahamu. So kwa namna nyingine namuona ni muoga anaogopa lawama.

Nikisema haya si kwamba simuheshimu OGS wala kwamba nampinga ila nabaki palepale kwenye point yangu kwamba ninaona si kocha sahihi kulinganisha na Poch haya ni maoni yangu mkuu nadhani hata wewe unamtazamo wako... tusilewe sana na huu upepo wa muda mfupi... tukumbuke kunakipindi matokeo ya upepo hupita zinabaki hali ngumu.... sioni shabiki wa kusimama na Ogs pindi tutapopata labda sare tatu mfululizo na vichapo kadhaa... (nyakati hizi zipo) ni kweli tutaendelea kumuunga mkono? Au tunaangalia hapa..... bila kuona kuleeee....

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mbinu huwa ni kitu gani hasa ? Je mbinu huwa zinafanya timu ishinde ama isishinde ?
Hizo mbinu huwa ni miujiza ama ? Je morale ni mbinu au sio mbinu ?
Hv ni kocha gani anaweza kupandikiza izo so called mbinu kwa miezi mitatu mpaka wewe ukaanza kuziona kiurahisi ?
Poche amekaa pale misimu mingapi , hizo mbinu zake zimeleta matunda gani kwao ?
Unajaribu kusema kwamba Spurs wanakosa uzoefu ? upi huo mkuu wale leicesta waliposhinda uzoefu waliutoa wapi ?
Poche =, Klopp kwangu ni best loser
 
COUTINHO WANTS MAN UTD MOVE
Philippe Coutinho tells Old Trafford pals he wants £86m transfer, according to the Daily Star.
Barcelona’s Coutinho, 26, has confided in a number of United’s Spanish players that he would love a move to Old Trafford.
It is understood the former Liverpool man has grown increasingly unsettled in Spain since his switch there 14 months ago for a whopping £142million.
The attacking midfielder has only scored four La Liga goals in the current campaign, is in and out of the team and is not a favourite of the Nou Camp fans.

.............................................................................................................................................................................................................
Wadau mnaonaje deal hii ?
Sanchez mwingine. Hatumtaki.

Aliambiwa atapotea, akasema ana DNA ya Barca.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa mimi ni mmoja wapo, tena wala si kitu cha kuchekesha..!!

Tena hapa nikiri ni mmoja wa tuliomtaka kwa udi na uvumba Mr Mourinho, ila si kama kocha wa kudumu bali wa muda mfupi kwaajili ya kurejesha heshima ya timu baada ya kuflop kwa miaka minne mfululizo kipindi cha Mr Macho na LVG. Sote tunajua Mou ni mtu anayetengezeza timu ya mafanikio kwa muda mfupi na kamwe si kwa muda mrefu.. ni bahati mbaya kwamba Bodi ilimuongezea mkataba baada ya mafanikio kwenye Europa.

Nikija kwa Poch,
Poch ni mjenzi wa timu haswa... ni mkufunzi wa mpira wa kushambulia falsafa ambayo Man u ndio mpira wetu. Ni Meneja ambae mafanikio yake yameonekana wazi tangu akiwa huko Southampton mpk hii leo hapo Tot.. tumeona kwa miaka minne namna ambavyo Tot wamekuwa washindani wa kweli kwenye league na hata Ucl tena kwa bajeti ndogo na ya kawaida tu, ni bahati mbaya wamekosa vikombe kipindi chote hicho nadhani ni uzoefu tu ndio unawasumbua na hili tunaliona hata kwa kocks kwenye league.

Kwa OGS (naheshimu sana kazi yake)
Lakini simuoni kama ni kocha wa kudumu wa Man u, Ogs amechukua timu kipindi ambacho kila mchezaji alishamchoka kama si kugombana na Mou, Morali ya timu ilikuwa chini kupita maelezo... ilifikia kipindi hata Man u ikicheza na Crystal palace mtu unaangalia mpira kwa kutetema kwa hofu ya kufungwa muda wowote.. Hili Ogs amelitumia kama fulsa ya kuinyanyua timu.. So ni kama Ogs amewaruhusu tu wachezaji kufanya wanachokita uwanjani.. lakini kwahakika mpaka leo bado hajapandikiza zile mbinu za kocha ambazo kila mtu ataona hapa bila kocha flan pengine tusingeshinda.. ama tungefungwa.

Ukitaka kuliona hili kwa uwazi hebu angalia pale man inapocheza na timu za top 5 kwenye league na mechi mbili za psg. Utaona wazi kwamba licha ya kwamba timu inashinda lakini inapata shida sana kuupata ushindi huo kitu ambacho hakikuzoeleka kipindi cha babu feggie.. unajua kama tunataka timu ifanye vizuri tusimpimie Ogs na hawa kina Macho,Lvg na Mchonga.. kipimo sahihi kwa Ogs kiwe kwa Feggie. Ogs mpaka sasa bado hajafanya usajiri wowote licha ya hapo January kuwepo kwa dirisha la usajili na namna timu ilivyokuwa sote tunafahamu. So kwa namna nyingine namuona ni muoga anaogopa lawama.

Nikisema haya si kwamba simuheshimu OGS wala kwamba nampinga ila nabaki palepale kwenye point yangu kwamba ninaona si kocha sahihi kulinganisha na Poch haya ni maoni yangu mkuu nadhani hata wewe unamtazamo wako... tusilewe sana na huu upepo wa muda mfupi... tukumbuke kunakipindi matokeo ya upepo hupita zinabaki hali ngumu.... sioni shabiki wa kusimama na Ogs pindi tutapopata labda sare tatu mfululizo na vichapo kadhaa... (nyakati hizi zipo) ni kweli tutaendelea kumuunga mkono? Au tunaangalia hapa..... bila kuona kuleeee....

UNITED WE STAND

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya Pochitinho nikukosea hesabu za kushinda makombe, EPL au michuano mingine Kama Carabao au FA Zina hamna na mbinu zake zakuweza kuhimili ushindani ili uweze kushinda vikombe.Toka 2014 kwa uzuri, na ubora wa kikosi Cha Spurs,+ uzoefu wa Poch KWENYE ligi/EPL, kulegalega kwa Man U, Asernal, Ni kama aibu kwa Pochitinho kushindwa kuchukua kombe mbele ya Leicester City, na Chelsea ya Conte, haya angalia msimu huu anavyotaka kumalizia ligi Tena

In short Poch anafeli namna ya kupanga kumalizia ligi hasa ushindani wa mwisho wa ligi(title contender na relegation fighters, na wagombea nafasi za top 4) wanamshinda kwa yeye kushindwa kuhimili TENSION kumalizia ligi,na si kwa ubora wa vikosi vyao...... So Poch Ni kocha mzuri lakini hatokuja kushinda EPL anytime soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mbinu huwa ni kitu gani hasa ? Je mbinu huwa zinafanya timu ishinde ama isishinde ?
Hizo mbinu huwa ni miujiza ama ? Je morale ni mbinu au sio mbinu ?
Hv ni kocha gani anaweza kupandikiza izo so called mbinu kwa miezi mitatu mpaka wewe ukaanza kuziona kiurahisi ?
Poche amekaa pale misimu mingapi , hizo mbinu zake zimeleta matunda gani kwao ?
Unajaribu kusema kwamba Spurs wanakosa uzoefu ? upi huo mkuu wale leicesta waliposhinda uzoefu waliutoa wapi ?
Poche =, Klopp kwangu ni best loser
Ni sawa mkuu...

Ndiomaana nimesema huo ni mtazomo wangu nadhani hata wewe huu ndio wako, wala haigombi...!!

Mbinu ktk mpira ni kitu ambacho kama huujui mpira huwezi na hautakaa ukijue.. ili angalau kusogelea kwenye maarifa ya kujua angalau basi iangalie ile Chelsea ya kipindi cha awali cha mou... watu wakilalamika inacheza ovyo ilhali ikipapata ushindi... na wala haikuwa kwa muda mrefu mpaka hili kuwezekana kama unavyobainisha hapa ni falsafa na mbinu za kocha mwenyewe..

Ndiomaana unaona kuna baadhi ya makocha wanacheza na viungo watatu,wawili,watano nk.. hii yote ni kuhakikisha timu yake inatembea kwenye mbinu zake... pengine waweza kuona kipa akipata mpira anapiga mpira mrefu mbele (Van amewahi kutoa assist kwa scholes kipindi flani) hizi ni mbinu za feggie. Wengine utaona keeper akipata mpira ni lazima aanze na pasi fupi kwa beki kisha watacheza kwa muda flani ili kukuvuteni ninyi mjae then mnapigwa bonge la counter... hizi ni mbinu za guadiola... hivi ni vitu vidogo sana kwenye mbinu za makocha, najaribu kukufanya unielewe ninachozungumza..!!

Morali wala si mbinu, ni jinsi gani Meneja anavyoishi na kufanya kazi na wachezaji wake... ni jinsi gani anavowapump wajione ni washindi hata pale wanapoonekana wazi kukabiliwa na ushindani mzito... Mwenyewe kama unamtoto akifeli mtihani mtukane mchimbe biti ikiwezekana mtandike... halafu subiri matokeo ya mtihani mwingine au akifeli mtie moyo muonyeshe tu kwamba amekosea kwa bahati mbaya kisha tumbukiza mbinu zako na kazana kumfundisha uone matokeo yake baadaye..

Nadhani tunaelewana... UNITED WE STAND

Kwa maelezo hayo mkuu mbinu Ole hana kabisa ?
Huoni De gea kila akipata mpira huwa anamlenga lukaku ? Lukaku naye hufanya kila namna apige kichwa kwa wenzake ?
Mou anasifika kwa mbinu lakini tulikuwa tunaelekea wapi pamoja na mbinu zake ?
Kikubwa nachoona Club yetu iweke nguvu kubwa kusajili wachezaji wanaohitajika na wenye viwango vikubwa hizo mbinu zikianza kuelekezwa nadhani zitafanya kazi
 
Back
Top Bottom