Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Yametimia mkuuMan U Naona Tufungwe moja Kwanza Akili itukae sawa Mbona Tunakimbia kimbia atuuu uwanjani leo
Unawashwa sio.. Ww arsenal nin maana roho zinawanyongorotaWazee wa mapenati ya wizi wizi
Tusisahau kuwa wakati ukiwa na bibi yako na wewe ni gentleman tunasema "Ladies First "
Sent using Jamii Forums mobile app

