Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

IMG_8388.JPG
 
Bailly sijui kawaje..ni kama vile amesahau kucheza

Asipoangalia timu itamshinda msimu ujao

Mm namkubali sana yule Coulibaly tukipata jitu kama lile nxt season acheze na Lindelof nadhani De Gea atakuwa na raha sn
 
Asipoangalia timu itamshinda msimu ujao

Mm namkubali sana yule Coulibaly tukipata jitu kama lile nxt season acheze na Lindelof nadhani De Gea atakuwa na raha sn
Sema Napoli wanataka mzigo mrefu sana..jamaa anatufaa sana aisee
 
Sema Napoli wanataka mzigo mrefu sana..jamaa anatufaa sana aisee

Kwa jinsi tulivyo sasa tutapata wachezaji wazuri sababu ile falsafa ya Mou ilikuwa inafanya wachezaji wengi watukatae hata Ronaldo angerudi kwetu kama tusingekuwa na Mou
 
Back
Top Bottom