radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mkuu dogo yupo vizur sana ujue tuna madogo wengi sana kwenye timu yetu huyo ana 19 tu akipewa timu solskjaer tunanafasi ya kuja kuamka maana namuona anajikita ktk damu changa nawaza lindelof afikishe miaka 26 au 27 itakuwaje maana kana 23 tu

