Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hiyo ndio ilikua manure angalau ina watu, saivi kuna vichekesho vya kina Lukaku

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Lukaku waulize PSG

Halafu, barca ya leo imejichokea sana, na mimi ninaomba usiku na mchana tupangwe na Barca maana kombe tunaloshiriki lina uzito huo

Nikiogopa kupangwa na Barca inabidi nikubali kupangwa na Rennes au Dinamo Kyev kitu ambacho ni kituko kwa timu kama United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ambao umewafikiria ni sahihi kabsa sema hatuwezi cheza Formation hyo (4-4-2) na Pogba..tutafungwa nyingi..Pogba kukaba hawezi ndo maana huwa anapangwa either mbele au unamuongeza kiungo mwingine wa kati hapo kwa formation ya 4-3-3 au 4-3-1-2 ambayo tunatumia mara nyingi na Ole siku hz
 
Unaandika kwa ujasiri wakati ndani yako unajua uhalisia. Fanya analysis ya kikosi ulicho nacho na kosi la Barca. Nasema hivi ukidondoka mikononi mwa barca nakula mbele na nyuma mkuu hiyo haiepukiki. Uliye mfunga juzi nilimfunga 6 sasa wewe zitaanzia sita kwenda juu
Kuhusu Lukaku waulize PSG

Halafu, barca ya leo imejichokea sana, na mimi ninaomba usiku na mchana tupangwe na Barca maana kombe tunaloshiriki lina uzito huo

Nikiogopa kupangwa na Barca inabidi nikubali kupangwa na Rennes au Dinamo Kyev kitu ambacho ni kituko kwa timu kama United

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dondokea tu mikononi mwa ngu uone ninavyo kuchimba choo mchana kweupe, unapiga kelele humu wenzio wanaweka Messi wewe unaweka Lukaku, wanasimika Arthur wewe Herrera, wanaweka Vidal unaweka Matic, wanaweka Dembele/Coutinho unaweka ka Jesse/Rashford. Yani ntacheza nawewe kama nacheza na Celtic.
Sijui unazungumzia uchafu gani ktk orodha ya timu zilizotwaa ndoo kibao yupo Ac milan na madrid sasa jiulize hiyo takataka yako kabla ya mes ilikuwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dondokea tu mikononi mwa ngu uone ninavyo kuchimba choo mchana kweupe, unapiga kelele humu wenzio wanaweka Messi wewe unaweka Lukaku, wanasimika Arthur wewe Herrera, wanaweka Vidal unaweka Matic, wanaweka Dembele/Coutinho unaweka ka Jesse/Rashford. Yani ntacheza nawewe kama nacheza na Celtic.

Sent using Jamii Forums mobile app

Madrid alipolipiga mara 3 mfululizo hilo genge lako la wahuni lilikuwa linacheza europa?
IMG_0476.JPG
 
Wewe dondokea tu mikononi mwa ngu uone ninavyo kuchimba choo mchana kweupe, unapiga kelele humu wenzio wanaweka Messi wewe unaweka Lukaku, wanasimika Arthur wewe Herrera, wanaweka Vidal unaweka Matic, wanaweka Dembele/Coutinho unaweka ka Jesse/Rashford. Yani ntacheza nawewe kama nacheza na Celtic.

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu hayo matakataka unayotaja yalifumuliwa malinda na As Roma chuma 4 vidal hana jipya zaid ya kiduku coutinho flop labda mess hizo zingine takataka
 
Back
Top Bottom