Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ebwana red devils ndio jina lao,ni kweli tumebebwa,lakini tuongee ukweli,uingereza kuna kubebwa kizamu zamu,kwahiyo leo ilikuwa zamu yetu,ila kamenogaaaa....poleni kwa walioumia,na nyie zamu yenu ikifika mtabebwa,kaeni tu kwenye mzunguko...
 
Natamani yule Refa wamlete uswazi km dk tano tu tumfanyizieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee halafu arudi UK
 

Mkuu nakupongeza kwakukubali mmebebwa wenzako huku madongo kuinama wamekataa
 
Mkuu mimi ni chelsea, tumefungwa kihalali kabisa. Kuhusu torres nakubaliana na wewe. Kuna goli moja amekosa ni kama alikuwa ana struggle kuokoa. Bora awe anaanza lukaku

Wewe utakuwa shabiki uchwara
 
Uingereza Timu gani tofauti na man anabebwa?
 
tatizo wabongo mnaleta mambo ya simba na yanga hapa! Watu wanacheza na makosa ya wenzao,c umeona welbeck alivyo jiposition kwenye mguu wa yule babu yenu...hata angekuwa malaika angempa pernati tu....
 
Aibu kwa man u. Nilikuwa mshabiki mkubwa wa man u lakini kwa jinsi wanavyobebwa katu sitawashabikia tena,
 
Yaani yule shoga Webb ameniharibia siku mjinga yule!Sijui ni mke wa ferguson yule ****!!
 
Naskia Webb half time alibwatukiwa na Kibabu fagiii, sasa ikabidi kipindi cha pili afanye kweli. Sijui kanamnunuliaga gongo na chapati za kuzimulia khaaaaaa
 

Torres aache mpira ili aje kula kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…