Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi pogba ni lazima apige penati? Anaogopeka ndani ya klabu? Si Mara ya kwanza kwenda kupiga penati na kukosa kwa kufanya ile movement yake. Ni lazima atembee ule mwendo wake Wa kishoga kabla ya ku shoot?. Kwa nini hajirekebishi na utoto wake? Ananikera sana!
 
Mpumbavu sana ...yan lukaku angetia kambani hio mashine na angepiga mashine ya hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
√Lindelof kawa kitasa jamani,hafanyi makosa mengi uwanjani

√Luke Shaw yupo kwenye kiwango bora kabisa kuwahi kupatwa kushuhudiwa

√Andreas leo amecheza kwa rythm fulani nzuri,,

√Nimefurahi kuona Fred anatoa assist,,hopefully atapata confidence na kudeliver..£50m is not a Joke

√Sipendi kumwongelea sana Jose' lakini najaribu tu kufikiria kama ndo angekuwa bado ni kocha wetu na tukawa tunapitia kipindi kama hichi,hizo excuse ambazo angetoa sizipatii picha..Sasa angalia Ole anavyodeal na mambo pale OT,its like no one missed at some points


√Big up Pogba..ile penalt runway ilikuwa ya aina yake..but ungemwachia bolingoli atie kambani hatrick,na kama angekosa isingekuwa big deal
 
So'to wamecheza vizuri sana hii game, wametukalia kooni pale kati kati tumepotea kabisa, ila kazi nzuri sana aliyofanya Lukaku imetupeleka nafasi ya nne.
second half tuna possession ya ya 70% huko, first half 60+..na kati kati gani waliyo tukalia?? au ulishan Soton ndio walikua na jezi nyekundu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wote ananifurahisha sana Luke Shaw yaani natamani hata ningeingia ndani ya tv nimbusu, asante sana Ole umeturudishia heshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unakumbuka game ya Burnley?? ile ya 2-2

Pogba alipiga kama vile na alipata akatupa point moja iliyofanya tuwe hapa tulipo leo.

Aubameyang hakufanya kama Pogba lakini alikosa pia hata Makambo nae amekosa leo.

watu imewauma kisa Lukaku kukosa kupiga penati ya hat-trick ila wanasahau zile dk 10 za mwanzo shujaa wetu Lukaku amekosa nafasi 2 za wazi za kumpatia hiyo hat trick.
 
Ile ngumu sana kubadilika. Waangalie Neymar lazima asite kidogo au Jorginho lazima aruke kidogo. Siku ile nilijua lazima akose kwakuwa niliamini watakuwa wamemsoma vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…