Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Mi nafikiri mido yetu Leo haiko poa ukitoka pogba
Nadhani Ole afanye mabadiliko Lukaku and Sanchez ni mizigo ya kiwango cha kimataifa.
Hivi tangu EPL ianze kumewahi kuwa na mchezaji asiyejua kucontrol kama Lukaku?
Aaah jamaa mbona akiwa anatupia mnamsifia siku ikiwa sio yake mnamponda hivi Bolingoli wa watu?