Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kesho Asernal akimpiga spurs,na Utd akampiga southampton tofauti ya points itakua ni 2 Utd kuwafikia Asernal na spurs.Hivyo UTD akimpga Asernal tutakua na uhakika wa top 3.Mambo mengine yakiwa costant

Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs zitakuwa 2. Arsenal itakuwa 1.
Tatizo Man U bado kucheza na Man City, Arsenal na Chelsea.
Zingatia majeruhi.

Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
 
Spurs zitakuwa 2. Arsenal itakuwa 1.
Tatizo Man U bado kucheza na Man City, Arsenal na Chelsea.
Zingatia majeruhi.

Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
Tatizo ni city tu mi naona hao wengine tunawamudu vizuri tu na pia ndio hamasa yetu kuwafunga maana tunapata 6point kwa mechi moja tukimfunga mmoja wao(3 point za kupanda top 4 na 3point za kumshusha mtu top 4)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"We want to attract good players that want to improve the players we have here: Paul Pogba, David de Gea, Anthony Martial and Marcus Rashford.

"All these top players we have - they need players to challenge them because no one should feel 100 per cent secure to be in the starting XI.

Haya ndo mawazo ya kocha anaetakiwa kuifundisha hii timu sio kugawa mikataba kwa kina fellain na valencia

Safi Ole Gunna Solskajaer
 
Kesho Asernal akimpiga spurs,na Utd akampiga southampton tofauti ya points itakua ni 2 Utd kuwafikia Asernal na spurs.Hivyo UTD akimpga Asernal tutakua na uhakika wa top 3.Mambo mengine yakiwa costant

Sent using Jamii Forums mobile app

Usisahau bado tuna Chelsea na Mancity wakati Arsenal akimalizana na Spurs na ss amemaliza mechi zake kubwa! kwa mtizamo wangu mm naona bora Arsenal afungwe na Spurs au Mechi iishe Draw,coz Spurs bdo hajamalizana na City pamoja na Liverpool.
 
Mzee utamu wa top 4 inatakiwa uwe wa nafasi mbili za kugombaniwa(spurs,man utd,chelsea na asernal)
Binafsi sitaki spurs awe safe nataka chance iwe kubwa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha mpira ungekuwa mrahisi hivi mungekuwa mabingwa miaka yotee..

Yani unajipa uwakika kabisa kwa Arsenal na Chelsea una point sita hahahahaha

Hongera sana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa

Ninaposema ni 6 pointer, ninamaanisha kwamba tukimfunga Chelsea ni sawa na kupata points 6 kwakuwa tunakuwa tumepata points 3 na Chelsea (ambaye tunagombania naye nafasi ya top 4)anakuwa amepoteza 3. Kwa hiyo ni kama points 6 kwetu. Vivyo hivyo na kwa Arsenal.

Lakini pia hujakosea, nina % kubwa ya kuchukua points 6 kwenu kwani nyie ni timu za kawaida sana

Kati ya timu zilizobaki, City tu ndio anatuumiza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa kubwa United itakalofanya ni kumpa DeGea hela ndogo.

Ataona hathaminiwi na ataondoka United.

Wampe hizo hela anazotaka acheze kwa moyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kujiuliza je, hamna option nyingine nje ya club mfano Jordan Pickford, Oblack, au hata ndani ya club mfano Romero na Henderson (kama sikosei anaitwa hivyo) ambaye yupo nje kwa mkopo na Juventus wanamnyapia?

Tatizo la kukubali kila takwa la mchezaji mkubwa ni kutengeneza misingi kwa wachezaji wengine siku za mbele. Wachezaji watakuwa wanataka hela ndefu kupita uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa

Ninaposema ni 6 pointer, ninamaanisha kwamba tukimfunga Chelsea ni sawa na kupata points 6 kwakuwa tunakuwa tumepata points 3 na Chelsea (ambaye tunagombania naye nafasi ya top 4)anakuwa amepoteza 3. Kwa hiyo ni kama points 6 kwetu. Vivyo hivyo na kwa Arsenal.

Lakini pia hujakosea, nina % kubwa ya kuchukua points 6 kwenu kwani nyie ni timu za kawaida sana

Kati ya timu zilizobaki, City tu ndio anatuumiza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo Chelsea ni timu ya kawaida kama ulivyoandika, Unaeza poteza gemu zote na usipate hizo points unazotaka ..wewe kunifunga fa sio kwamba na ligi itakuwa nyepesi tu ..tarajia hali ya hewa kuchafuka apo OT..

Hata kwa Arsenal unaeza ambulia draw..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau bado tuna Chelsea na Mancity wakati Arsenal akimalizana na Spurs na ss amemaliza mechi zake kubwa! kwa mtizamo wangu mm naona bora Arsenal afungwe na Spurs au Mechi iishe Draw,coz Spurs bdo hajamalizana na City pamoja na Liverpool.
Nakubaliana na wewe, bora Arsenal afungwe na Spurs,

Lakini Arsenal ni moja ya timu kubwa ambayo huwa inapoteza kwa timu ndogo bila kutarajia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kujiuliza je, hamna option nyingine nje ya club mfano Jordan Pickford, Oblack, au hata ndani ya club mfano Romero na Henderson (kama sikosei anaitwa hivyo) ambaye yupo nje kwa mkopo na Juventus wanamnyapia?

Tatizo la kukubali kila takwa la mchezaji mkubwa ni kutengeneza misingi kwa wachezaji wengine siku za mbele. Wachezaji watakuwa wanataka hela ndefu kupita uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani Sanchez bench warmer anastaili kulipwa pesa nyingi vile wakati kipa anayeibeba time mabegani kwake analipwa hela ya chai tu? Kwa uwezo alionano De Gea alipaswa awe kipa ghali zaidi kwa sasa ..lakin ndo kipa mwenye mshahara unaolingana na kipa wa westham au Watford uko..

Kwa hili me naunga mkono kabisa ..kma De Gea asipoongezewa donge mono asisaini mkataba ni asepe zake bure..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi habara za mishahara au manunuzi ya mchezaji kusema ukweli mimi hata haviniumi na wala sijali either mchezaji awe analipwa pesa nyingi au kidogo nnachotaka kuona mimi kila mechi tunapata points 3
Havikuumi mkuu lakini vina mahusiano na hizo points 3 utazozitaka

Mfano Degea akiondoka kwa kutaka mshahara unaolingana na wa Sanchez, je huoni kama tutakuwa tumepoteza lulu kiasi gani?

Unafahamu degea msimu huu ametupatia points 3 ngapi? Na bila hilo leo tungekuwa wapi kwenye ligi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unadhani Sanchez bench warmer anastaili kulipwa pesa nyingi vile wakati kipa anayeibeba time mabegani kwake analipwa hela ya chai tu? Kwa uwezo alionano De Gea alipaswa awe kipa ghali zaidi kwa sasa ..lakin ndo kipa mwenye mshahara unaolingana na kipa wa westham au Watford uko..

Kwa hili me naunga mkono kabisa ..kma De Gea asipoongezewa donge mono asisaini mkataba ni asepe zake bure..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mshahara wa Sanchez United walifanya makosa

Lakini unaposema degea analipwa mshahara sawa na makiwa wa Watford au Westham unataka kuchangamsha tu jukwaa

Labda kama unamaanisha timu nzima ya Watford na Westham

Degea kwa sasa analipwa 270k a week, probably anamzidi Hazard wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom