radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
ukiangalia rekodi yetu ya away, nashawishika kukubaliana na wewe.
mimi napenda tushinde ila tusiende quarter final. Hofu yangu tusije kosa top 4.
Sent using simu mbovu
Mkuu mi napenda tusonge mbele zaidi akipona mata tu pengo la pogba walau tunaliziba maana atakuwa free sana
