Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona jamaa alicheza poa tuu. Kama ukiangalia game poa, the last 3 games sanchez amekua akicheza poa tu. Ofcozi ana improve to be fair.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe

Watu wataendelea kumuona anacheza vibaya watakapomlinganisha Sanchez wa Barca/ Arsenal na huyu wa United

Sisi ambao tunamlinganisha Sanchez wa msimu uliopita na huyu wa msimu huu tunaona anafanya vizuri

Kwa Wachezaji wetu tunapaswa kuwa positive zaidi, pale kwenye positivity

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gettyimages-1127929663-1024x1024.jpg


Luke Shaw’s game by numbers vs. Crystal Palace: 100% successful take-ons | 100% aerial duels won | 100% tackles won | 2 interceptions | 2 fouls | 1 assist
 
Kuleta makombe ni mchango wa timu nzima mjomba, hapa tunaongelea wachezaji wawili wao kama wao!
Timu inaundwa na mchezaji mmoja mmoja, mchango wa mchezaji mmoja mmoja ndio timu.
Usimtetee pogba, mchango wake umekuwa useless.
 
Timu inaundwa na mchezaji mmoja mmoja, mchango wa mchezaji mmoja mmoja ndio timu.
Usimtetee pogba, mchango wake umekuwa useless.
Point yako ni ipi?Hapo tumefanya individual evaluations mambo mengine yakiwa costant.power of an individuals does not determine the power of a group mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchango wa nani kati yao umeleta makombe ndani ya hiyo misimu 2?
Kwahiyo Ederson ni bora kuliko Degea?

Degea amekuwa namba moja bora kwa premier league teams kwa miaka 5 kati ya 6 iliyopita

Kisa Ederson amechukua tu kombe la EPL yeye ni bora kuliko makipa wote wa EPL?

Mfano mwingine, kwa msimu uliopita Harry Kane hajachukua hata kibakuli cha mbuzi, je Morata au Giroud aliyechukua FA ni bora kuliko Harry Kane?

Tatizo washabiki wa Man City mmeanza juzi juzi kufuatilia mpira

Miaka ya 1990's George Weah alikuwa mchezaji bora ulimwenguni, je aliipa Liberia makombe mangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaimprove lakin bado sio mchezaji tulie mnunua ss,jamaa anavuta mpunga mrefu kulko mchezaji yoyote PL yaani zaidi ya Pogba,Aguero,Hazard,De Bruyne,David Silva etc na wakati kiwango anachokionesha sahv hata Lingard hajamfikia. Jamaa sijui amepatwa na nn au ndo umri umeshamtupa mkono kama kina Rooney?
Umri.....

Rooney alipofika 30 akaanza kushuka kimoja, leo anacheza bonanza league kwa Trump huko...

Hawa watu wameanza kucheza top level football wakiwa wadogo sana....mfano Rooney was 18 alipoingia United...For over 12 years amecheza top level European football it's not a joke...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nasikitika Manchester United hii ilikuwa sio ya kufikiria kugombania top 4 ila ilikuwa ya kugombania ubingwa ila bwana yule alituaminisha ata hiyo top 4 atustahili alituweka level moja na kina Everton Watford duh ilitutesa wee acha tu
Bwana yule ni shida sana...
Screenshot_2019-02-10-08-58-12.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri.....

Rooney alipofika 30 akaanza kushuka kimoja, leo anacheza bonanza league kwa Trump huko...

Hawa watu wameanza kucheza top level football wakiwa wadogo sana....mfano Rooney was 18 alipoingia United...For over 12 years amecheza top level European football it's not a joke...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sema cha Ajabu mbna kina Giggys,Scholes,Ronaldo,Ashley Young,Valencia etc wameendelea kukiwasha tu top level pamoja na umri kusogea Sanchez ndo kwanza ana 30 sahv
 
Sema cha Ajabu mbna kina Giggys,Scholes,Ronaldo,Ashley Young,Valencia etc wameendelea kukiwasha tu top level pamoja na umri kusogea Sanchez ndo kwanza ana 30 sahv
Ni kweli....

I think somehow ni uwezo wa kukubali kubadilika kutoka aina fulani ya uchezaji kwenda aina nyingine with different roles altogether-imesaidia wengi kuendelea kucheza for longer periods:

1.Giggs alikuwa flying left winger....umri ulipoanza kumuacha akarudi central midfield au namba 10(inside ten) mpaka anatundika daluga....pale akawa hakimbii sana, ni kutoa mapande tu...

2. Young alikuwa right/left winger....naye ame evolve, he is now a fullback

3. Scholes....alitoka middle ya juu, with formation change akarudi middle ya chini...anachukua mpira kwa Vidic anaanzisha...

4.Ronaldo...alikuwa right winger, he's now a centre forward....hakimbii sana, yeye ni timing na kupiga mabao...

5.Sanchez....same position, akitokea kushoto tangia Barca hadi leo...

6.Rooney....aling'ang'ania same position unfortunately for him SAF alijua hili la the need to evolve and adapt, wakati fulani akawa anampanga midfield, dogo ananuna mpaka waliwahi kugombana....the idea was for him to evolve and prolong his relevance...





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom