Hii pointi ya leo muhimu sana,kwa aaliyefuatilia game za Manu na Chelsea hapa darajani,karibu mechi 4 Chelsea alikuwa anabebwa watu walikuwa kimya leo tunabebwa wanapiga kelele
Bisha tu.........................Kwa hiyo ulitaka Chelsea washerehekee ushindi wa 3-0 hata kabla mpira haujaisha?........lol[/QUOTE
Walisheherekea ndomana wakafungwa kilichobakia kwao Abromovich kuwa mshindi wa kufukuza Ma-Manager.
Mkuu sio rahisi ulijuwa Arsenal wanacheza leo??Hao United sio Arsenal
Mi naomba siku tukikutana mtupangie combi hii ya defence, Evans na Ferdinand nasi tupate kujidai. Hata hivyo Epl haina marefa, kama huyu ndiye mmoja wa marefa wa kutumainiwa hamna kitu.
Kama unakumbuka game zetu darajani, last season David Luiz alimchezea rafu Rooney ambayo alitakiwa kupewa red card refa akapeta akamchezea tena Chicharito refa akapeta baadae Luiz akafunga goli la ushindi,Kuna game JT alifunga goli kabla ya goli alicheza faulu refa akapeta JT akafunga goli la ushindi na kuna Game walitufunga 2-1 Drogba alikuwa offside akafunga goli la ushindi.Hayo yote hamkuyaona Stamford imekuwa mahali ambapo tunapata maamuzi mabaya sana dhidi ya ManUHongereni Howard Webb United. Kwa kupata point.
Hii pointi ya leo muhimu sana,kwa aaliyefuatilia game za Manu na Chelsea hapa darajani,karibu mechi 4 Chelsea alikuwa anabebwa watu walikuwa kimya leo tunabebwa wanapiga kelele
Vibonde wetu wa miaka yote Totenham Spurs ndio timu yakeTutajie timu yako kwanza then tuendelee kucomment...
Hahahaaaaa, Jumamosi mko na Liverpool tena.
Point mbili juu yenu si haba mkuu
Inabidi Howard Web achunguzwe!!
Mi naomba siku tukikutana mtupangie combi hii ya defence, Evans na Ferdinand nasi tupate kujidai. Hata hivyo Epl haina marefa, kama huyu ndiye mmoja wa marefa wa kutumainiwa hamna kitu.
Hahahaaaaa, Jumamosi mko na Liverpool tena.
Point mbili juu yenu si haba mkuu
Dah!.................Ushaanza nyodo mkuu?.....
Mumshukuru Mungu kwa kuwapatia Howard Webb......
Hatochunguzwa, wanajua malalamiko ya kila siku lakini bado wanampa mechi kubwa za united.
Na wachezaji wa United. Wanajua kumtumia lol.
Kama unakumbuka game zetu darajani, last season David Luiz alimchezea rafu Rooney ambayo alitakiwa kupewa red card refa akapeta akamchezea tena Chicharito refa akapeta baadae Luiz akafunga goli la ushindi,Kuna game JT alifunga goli kabla ya goli alicheza faulu refa akapeta JT akafunga goli la ushindi na kuna Game walitufunga 2-1 Drogba alikuwa offside akafunga goli la ushindi.Hayo yote hamkuyaona Stamford imekuwa mahali ambapo tunapata maamuzi mabaya sana dhidi ya ManU
Vibonde wetu wa miaka yote Totenham Spurs ndio timu yake