Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Natania tu kiukweli ndio hivo
Hata mech za usiku za timu kama liverpool,chelsea bila lift ya mech ya man u,
Wenye vibanda umiza wanafunga mabanda, nimeshuhudia juz mech ya liver na bmouth ,
Bila kuwepo mech ya man u ilikuwa ile mech isiangaliwe maana ilikuwa hasara tupu,
Kwa leo mech zitakazooneshwa ni hiz
Chelsea vs spurz
Man u
Arsenal
Fullstop
Maana vibanda ving vina screen tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
