juju000
Senior Member
- Apr 2, 2015
- 151
- 94
Sijaona sababu ya Fred kuwa bench , bora nafasi yake angekaa Garner.
Hahahahahaha mkuu Fredy bado ligi hajaiweza, na ni kosa kubwa kumpa mechi kubwa kama hii. Badala ya kurudisha confidence, unaweza kuiooteza moja kwa moja.Sijaona sababu ya Fred kuwa bench , bora nafasi yake angekaa Garner.
Sent using simu mbovu
Alipata injuries kwenye training jmos... Probably 1 month outMatic kapatwa na nn?View attachment 1031000
Haters gonna hate alwaysLeo ndio kipimo halisi cha hawa makocha wa kuokoteza okoteza mtaani, mwenzake Puel kisha fungashiwa vilago.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah mkuu,upo sawa nimeona sehemu