Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Mkiifunga Chelsea nyie, mpo bora

Tukiifunga, Chelsea ni wabove

Kuna mtu anataka kujua maana ya neno bias? This is real definition the word.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira umepoteza radha. Game ya leo inachezwa kwa umakini na tahadhari kubwa, mbali na baadhi ya wachezaji kupata majeruhi mbinu zilizotumika kwenye hii game zimeshindwa kuzaa matunda hasa kwa Man United, timu nzima, wachezaji mpaka benchi la ufundi wote wamefall. Nasikitika kuona kuku wenye mdondo wanashindwa kutufunga mapema, maana kipindi cha pili naamini mfumo wa kiuchezaji lazima ubadilike, lazima United tupate ushindi game ya leo la sivyo tutarudi kulekule mtaa wa 6.
 
Fella
Screenshot_20190224-180721.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom