Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndiyo mkuu tukipata viungo wawili wa kazi watatusaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu Joao Felix ni moto ni namba kumi anaeenda kuwa hatari zaidi na Liverpool walitoa paun mil 65 hivi zikakataliwa, maana Benfica wanamvalue at 100 mil but lolote linaweza tokes....

Greenwood ni mzuri sana cha msingi aendelee kuwa na nidhamu na afanye mazoezi na first team..... pia natamani mno atokee kocha mfan9 Kieran awe anatazama video za Van Persie pamoja na dogo, zitamsaidia sana dogo akue katika ubora wa RVP....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sure dogo kiuchezaji wanafanana sana na RVP, sema naona dogo anakasi zaidi na anatumia miguu yote vizuri kabsa!
 
Kwa sasa nasubiria ligi iishe tu hii timu lazima ifumuliwe watake wasitake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 1 na 2 nakubaliana na wewe

Lakini namba 3,4 na 5 ni vise verse

Lukaku ni clinical zaidi, si mchoyo (si mbinafsi) hivyo ana create zaidi ya Martial

Martial ni more skillful, na mpira anaocheza ni beautiful zaidi ya Rom

Takwimu kuhusu hao wawili zinaongea zenyewe

Kiufupi ni rahisi kumpenda Martial kuliko Lukaku

Kingine mchango wa mchezaji unaweza kuwa akiwa na mpira au akiwa hana mpira, Lukaku bila mpira movement zake zinaweza kutengeneza nafasi kwa wachezaji wengine

Kiufupi wote ninawakubali.

Martial ana potential ya kuwa na uwezo zaidi ya Rom lakini kuwa na potential ni jambo moja na kuifikia potential yako ni jambo lingine



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kumiliki mpira tukikutana na timu nzuri ni la muda mrefu, na ni kwa sababu hatuna mobile and technically gifted CM, sio matic ,sio Herrera.
Ndio maana vs PSG alivyokamatwa pogba, mid yetu ilishidwa kucreate chances.

Tunahitaji midfielder ambaye anaweza kucontrol tempo ,anaweza kuhimiri press ya timu pinzani, anaweza kulink play kati ya backline na attackline , yaani kiufupi awe anachezesheza dimba la kati anavyoamua yeye. Alikuepo de jong kashaenda barca. Wengine wanamsema Neves,

Sasa sisi timu yetu inatumia wings au counterattack kupata matokeo, au unakuta mpira unachezwa kwenye backline then longballs kumtafuta winger au CF. Ambapo tukikutana na timu nzuri mid yetu inakufa.



Sent using simu mbovu
 
Ivi kwanini tusimkwapue kante kutoka pale darajani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua mimi labda ndy pogba au lukaku au sanchez au herrera au mata au lingard au de gea au bailly au yyte pale OT basi ningetoa hizo hela kwenye akaunti yang bnafsi nimlete OT....mauzo ya jezi nachukua mimi hadi hela yangu itakaporud na faida asilimia fulan hiv. Shida michezaji haitafut hela zaid kwa mlango wa nyuma
 
haha wazo zuri mkuu ila ujue wao wanalipwa laki kadhaa sio milioni mfano kama mchezaji analiowa paun mil 250 kusema aweze kujitutumua atoe paun mil 100 atakufa mkuu sio pesa ndogo hiyo hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haha wazo zuri mkuu ila ujue wao wanalipwa laki kadhaa sio milioni mfano kama mchezaji analiowa paun mil 250 kusema aweze kujitutumua atoe paun mil 100 atakufa mkuu sio pesa ndogo hiyo hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha lakin chukulia mtu kama sanchez hela anayolipwa kwa wiki £391000 ambay tuseme ni kama 1,188,619,018.16 tsh na hizo £100m kwaajili ya kante ni kama 304,106,246,300.00Tanzanian Shilling; sasa sanchez hela za arsenal na muda aliokaaa united na mech za kimataifa alizocheza inaonesha anazo na zaidi ya hapo.. anajitoa ufaham tuu basi
 
Ivi kwanini tusimkwapue kante kutoka pale darajani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tulifanya ujinga sisi wenyew tulitakiwa kumchukua kabla hajaenda Chelsea, nikama tulivyozingua kumchukua De bruyne kabla hajaenda City..Chelsea hawawezi tuuzia Kante hata kwa Million 100,hawawezi rudia kosa walilofanya Kutuuzia Matic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…