Hahahaa hivi ana umri gan huyu jamaaPhil Jones nasikia kaongezewa mkataba wa 4yrs(+1)..
Huu utakuwa ni zaidi ya utani
Nanaa
26 anaelekea 27
Yaani .Phil Jones nasikia kaongezewa mkataba wa 4yrs(+1)..
Huu utakuwa ni zaidi ya utani
Nanaa
Maybe ila 4yrs +1 ni kusema kuwa wanamuhitaji kwenye kikosi kuliko biashara..maana fellaini aliongeza extension ambayo haizidi 2021Yaani .
Pengine wanafanya hivyo asije kuondoka bure, nazani itakuwa kama ilivyokuwa kwa fellain
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumamosi nitampiga city ili Liverpool aendelee kuongoza.Wale mbwa sitaki kabisa wachukue ubingwa bora wameshushwa kileleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Una andika kwa mihemko sana.
Anyway wafanye wanavyofanya ila summer walete CB Wa maana.Maybe ila 4yrs +1 ni kusema kuwa wanamuhitaji kwenye kikosi kuliko biashara..maana fellaini aliongeza extension ambayo haizidi 2021
Nanaa
Msimu huu nakutana na wewe tena Mara tatu ..kama ilivyo misimu miwili iliyopita.
Varane mzuri kuanzia urefu na on ball pia..mimi naona itakuwa poa akija..Anyway wafanye wanavyofanya ila summer walete CB Wa maana.
Nimesikia rumors za Varane unamuonaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
12th Feb is all matter for now chiefMimi nadhani, wachezaji wanatakiwa ku cool off, na OGS asiwape pressure wachezaji eti wamsaidie apewe permanent contract. Hizi records za kutokufungwa mechi ngani sijui zinawapa un necessary pressure wachezaji.
Katika mechi nne zilizopita OGS sijamsoma akitumia neno attack attack attack. He needs to be stable. we need to attack attack and attack.
Muingereza huyo.Phil Jones nasikia kaongezewa mkataba wa 4yrs(+1)..
Huu utakuwa ni zaidi ya utani
Nanaa
Uzuri ni kwamba mkipigwa na wewe unajipiga burnUna andika kwa mihemko sana.
Ushindi wa man united dhid ya Chelsea utakuwa ni draw.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilicheki mechi yao dhidi ya brighton, walicheza vizuri sana kipindi cha pili. Mitrovic sio wa kumuacha kizembe, nakumbuka hata round ya kwanza tuliwapiga lakini walicheza vizuri sana kipindi cha pili.Wadau mbona mechi yetu dhidi ya fulham tunainyima coverage tunaongelea mechi dhidi ya psg?
One steo at a time maana hata burnley tulimbeza akatunyima point 2 muhimu.
Nakumbuka kipindi cha SAF,hawa fulham ya akina murphy,dembele,na mmarekani mmoja hivi chini ya Dod al fayed walikuwa wakitupa tabu sana. Kama historia inabeba timu,tusiwapuuze hawa jamaa maana hata big match wamekuwa wakikaza sio mchezo.
GGMU