Stephen M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 372
- 379
Daaah imegeuka hunger gameAsante kwa ushindi muhimu, haikuwa rahisi.
Mourinho's principles some time lazima kuitumia kulingana na mazingira ya game
Noted hali ilikua tete sub ya martial na lukaku haikuleta mabadiliko chanya kulinda ilikua muhimuMourinho's principles some time lazima kuitumia kulingana na mazingira ya game
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwabeze leicester hata kidogo, ni timu nzuri, siyo kila mechi mtakuwa mnashinda kwa kudominate game.Hii game tumelala na viatu
Epl wameshamsoma ole
Ile midfield yetu ilipotezwa kabisa
Madogo wali press vizuri
Man u bado sana
Ole has to improve us kwa kweli
All in all GGMU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Upo sahihi, msimu huu hawajafungwa na timu kubwa, hata Man City na Liverpool wanaohesabika kuwa vizuri hawakushinda kwa hawa watoto wa Mjini.Usiwabeze leicester hata kidogo, ni timu nzuri, siyo kila mechi mtakuwa mnashinda kwa kudominate game.
Ni away game ya 5 mfulilizo (for all competitions) kushinda, hii mara ya mwisho ilitokea msimu wa 2012 tukiwa na SAF. Hivyo OGS ameturudisha enzi za Sir Alex
Usiwabeze leicester hata kidogo, ni timu nzuri, siyo kila mechi mtakuwa mnashinda kwa kudominate game.