Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha young ndani..rooney ndani...leo daraja linavukwa km mtaro tu...
 
anatafuta Umaarufu, huyu atakuwa Chesea, mngoje kichapo hapo darajani

nimeshaanza kulamba bia in advance. Kwa hali ninavyoiona man u wanaweza kuchukua pointi zao leo. Nimeona ninywe kabisa maana baada ya kichapo sitakuwa na hamu ya bia
 
LINE-UPS Chelsea v Man UtdChelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Luiz, Bosingwa, Essien, Meireles, Malouda, Sturridge, Torres, Mata. Subs: Turnbull, Romeu, Lukaku, Ferreira, Hutchinson, Bertrand, Piazon.
Man Utd: De Gea, Rafael Da Silva, Evans, Ferdinand, Evra, Valencia, Carrick, Giggs, Young, Rooney, Welbeck. Subs: Amos, Berbatov, Park, Hernandez, Fabio Da Silva, Scholes, Pogba.
 
Hii habari ilitakiwa ipelekwe kwa vitoto na vijinga facebook.
 
naona leo gea habibu ndani vipi lindaeli yeye hawezi nini mambo magumu..
 
Wakuu... kuna anayejua link ya internet ambayo naweza angalia hili game?.... waiting please....
 
Kule kwa bosingwa itakuwa njia tu leo...wacha achoke kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…