tycoonff
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 928
- 1,310
Huwa sina imani kabisa nisipomuona martial katika lineup. Dogo huwa anawavuta beki wa upinzani nyuma wasipande kushambulia.
Huwa sina imani kabisa nisipomuona martial katika lineup. Dogo huwa anawavuta beki wa upinzani nyuma wasipande kushambulia.
Watu wengi mnaangalia Leiceater alivyomchapa Chelsea na City na alivyosuluhu na LiverpoolHave a feeling Leicester could get something against United today.
Usihofu ataingizwa baadae kuwakimbiza wakiwa wamechokaHuwa sina imani kabisa nisipomuona martial katika lineup. Dogo huwa anawavuta beki wa upinzani nyuma wasipande kushambulia.
Lakini mim naona bora akibeba ubingwa city maana bado ni underdog tu kwetu kuliko akibeba liverpoolTunashindana na Arsenal sawa ila roho yangu haiwapendi City for sure. Siwezi ficha. Samahani fellow fans!!
Sent using Jamii Forums mobile app
YapKikosi kipo on point..vijana wapambane tumalize mechi mapema..
Nanaa
Yap
Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wachezaji waliopo kipo sawa labda mipango igome mana hilo katika soka lipo. Leicester so wa kubeza hata kiduchuYap
Obvious OGS amejifunza kuhusu kufanya unnecessary first team changes
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaijua first eleven yake lakini pia anasikiliza watu wanaomzungukaYaah..na hapo ndo tunapoona utofauti wake na Mourinho..Mourihno hata first XI yake alikuwa haijui,ni panga pangua tu everyday
Nanaa
Anaijua first eleven yake lakini pia anasikiliza watu wanaomzunguka
Jose lakini anafanya anachokiamini tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi mkuuTumerelax mno tunapaswa tupate walau bao 3 ndo tucheze hivi haka kamoja haka dhamana kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app