Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Mmetuotea sababu ya majeruhi ya kila siku lolSafi sana Martial
Ila Pogba kwanini akumpa pasi Rashford... mara ya pili anachelewa kutoa pasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unakuwa kama Malafyale vile, hamkosi visingizioMmetuotea sababu ya majeruhi ya kila siku lol
Si hamtaki kumpa timu mrusi, haya ndio matokeo yakeArsenal iliuza timu kwa tajiri mbahili, na hajali soka kama NFL. Unless LA Rams washinde Super bowls wkend hii, ndipo tutarajie kuona Stan kuwekeza Arsenal
Asno nawapa pole kabisa, japo kikombe cha mbuzi lakini vijana hawawezi kukuacha
Yeah walileta mambo ya UN. Wangetumia akili ya biashara wangekula pesa ya mrusi.Si hamtaki kumpa timu mrusi, haya ndio matokeo yake
Ila mkuu usisahau Arsenal ni tawi aminifu la Utd
Sent using Jamii Forums mobile app