Ishu kubwa ipo full backs kuliko centre backsIla kwa hii defence psg atatupa tabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu kubwa ipo full backs kuliko centre backsIla kwa hii defence psg atatupa tabu sana
SawaKama vipi hili kombe watupe tuu, kwani awamu hii ya Ole Gunnar hakuna kufungwa wala kutoka sare
Sent using Jamii Forums mobile app

Alikufumua 2-0 mbabe wako arsenalLeo naona pipa na mfuniko vinakutana Leo
My prediction
Man u Win
Or sare
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal walitumia sana upande wa young hata goli lao limetokea kule jamaa kachoka pia tusisahau yule si beki asilia
Alikufumua 2-0 mbabe wako arsenal
Hatar sana mkuuWanajisahau sana hawa,juzi tu katoka kuliwa mbili nunge. Kashasahau.