Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mabadiliko yasipofanyika kwa young lazima tupigwe kama tatu ivi,
Plz mwenye namba ya yule kocha mmasai ampigie amwambie young anaruhusu sana croossssss.

Kiwekwe kigingi pale kinachokaba mpaka kivuli daadeki, nataman herera angekuwa beki alaf ndo apewe iwobi leo.
 
Kipindi cha pili nacho tufunge magoli 2 biashara iishe
Tawi letu hili rubaman

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie bila kuturogea wachezaji wetu hamuwezi kutufunga. Mambo gani haya kila little touch wachezaji wanakwenda muhi2. Mchawi wenu atakuwa wa Mziray. Lukaku naye kama guruwe anadhani hii ni UFC utapigaje mtu teke la sikioni ktk soka?
 
Naona kipindi cha pili mmebadilika, mnaweza kupindua matokeo mkiendelea kugangamala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kipindi cha pili mmebadilika, mnaweza kupindua matokeo mkiendelea kugangamala

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yetu bado ina ugonjwa wa miaka iliyopita. Hatutafika mbali kwa miaka kadhaa. Beki mbaya, mid ya wastani kama sio chini yake. Majeruhi kila siku. Yanayokuja yanatatupa heart attack.
 
Back
Top Bottom