OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Pochettino ana tofauti gani na OGS ambaye alishusha daraja Cardiff City? Au Klopp ambaye alifikisha timu final uefa na kuishia kupigwa magoli ya aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pochettino ana tofauti gani na OGS ambaye alishusha daraja Cardiff City? Au Klopp ambaye alifikisha timu final uefa na kuishia kupigwa magoli ya aibu?
Ongezea na sari hapoPochettino ana tofauti gani na OGS ambaye alishusha daraja Cardiff City? Au Klopp ambaye alifikisha timu final uefa na kuishia kupigwa magoli ya aibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mkuu fainal njema.
Labda aibe kombe
Ha ha haha ha haLabda aibe kombe
Aliyekunyoosha 2-0 ni pipa au mfuniko?Leo naona pipa na mfuniko vinakutana Leo
My prediction
Man u Win
Or sare
Sent using Jamii Forums mobile app
Guys naomba a simple online link ambayo naweza tizama Match ya Leo live,
Ni muhimu tafadhali.
Tumia Burma TV.Guys naomba a simple online link ambayo naweza tizama Match ya Leo live,
Ni muhimu tafadhali.
Ndiyo Bro, Hii ina stuck to death!!