Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,119
Young siyo defender, yeye huzuia kwa kurudi nyuma, adui akiingia kwenye yard ndo anaenda kumkaba, huwa simwelewi km ndivyo anavyofundishwa au anajiongeza
Young siyo defender, yeye huzuia kwa kurudi nyuma, adui akiingia kwenye yard ndo anaenda kumkaba, huwa simwelewi km ndivyo anavyofundishwa au anajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kweli hata mimi huwa simuelewI kabisa, mtu akiingia sebuleni ndio unamkaba, sijui nani kamfundisha hivyo au ndio uwezo umeishia hapo.Young siyo defender, yeye huzuia kwa kurudi nyuma, adui akiingia kwenye yard ndo anaenda kumkaba, huwa simwelewi km ndivyo anavyofundishwa au anajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app