Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu msimu Liverpool hamwachii City, cha kufanya City aanze kuweka mipango ya msimu ujao.

Kuna majeruhi kadhaa wakirudi huku timu ikiwa bado inaongoza hata kwa point 1 tu, City asahau.

Gomez, TAA, Lovren; hawa ni defense.

Wijnaldum (huyu majeruhi yake siyo makubwa), then uje OX Chamberlain.

Hao wakirudi tunafunga mahesabu.
fundi wangu naomba nikuulize swali kidogo japiokuwa si sehemu yake :
hivi yuko wapi naby keita niliyemuona mechi ya mwanzo dhidi ya west ham?

japokuwa naichukia sana liverpool FC lakini bado nitafurahi endapo mutakapofanikiwa kubeba ubingwa msimu huu, kiupande wangu nadhani itakuwa ni kitendo cha ujinga kama nitawaombea manchester city wabebe tena ubingwa kwa mara ya pili mfululizo japokuwa matumaini yapo.
  1. kwa nini niichukie liverpool kwa sababu dhaifu ya kihistoria wakati kiuhalisia nguvu yao ya matumizi sokoni haina tofauti kubwa na ya kwetu sisi na tunawazidi kimatumizi ya mishahara?
  2. kwa nini niichukie liverpool isibebe ubingwa wakati nusu ya wachezaji wao wana viwango vya kawaida, fikiria aina ya wachezaji kama milner, henderson, matip, lovren, origi, lalllana, arnold alexander, sturidge, moreno, gomez na wengineo. Kivyovyote timu kama hii haiwezi kusimama miaka mitatu mfululizo, jamani ni rahisi sana kumvua ubingwa liverpool kuliko manchester city.
sote ni mashahidi msimu huu kelvin de bruyne amecheza mechi nane za ligi kuu na david silva hayupo vizuri sana ukilingansiha na msimu uliopita na tayari ana miaka 32 bila ya kusahau performance ya fernandinho msimu huu imekuwa ikiathiriwa na majeruhi madogo madogo

kivyovyote endapo manchester city atafanikiwa au asifanikiwe kubeba ubingwa kwa ninavyomfahamu guardiola lazima ataingia sokoni kuziba nafasi za wachezaji wawili hao ambao wameonyesha uchovu msimu huu.

kwenye ishu ya matumizi majirani zetu wanaendelea kutuacha mbali sana na hata aina ya wachezaji wanaowasajili chini ya guardiola ni wachezaji wa uhakika isitoshe jamaa ana ushawishi mkubwa sana kwenye soko la usajili.

usishangae kesho asubuhi unakutana na habari za isco au christian eriksen kuhamia manchester city ili awe mbadala wa david silva msimu ujao.
nimeota thiago alcantara, koke na ndombele wanakuja etihad.

hivi tuna uhakika gani kama sheikh ed woodward atamwaga kitita kikubwa msimu ujao?
jurgen klopp hana uhakika kama atamwagiwa kitita kikubwa kwa ajili ya usajili.
josep guardiola ana uhakika atamwagiwa hela kwa ajili ya usajili msimu ujao.​

nitakuwa mjinga kuiombea dua mbaya liverpool ya henderson isibebe ubingwa kwa sababu ya historia yetu, siwezi kufurahia kumvua ubingwa manchester city msimu ujao bali nitafurahi kumvua ubingwa liverpool.
 
Para yako ya mwisho nimeona mantiki lakini mimi nitafurahi zaidi ubingwa akichukua city kuliko hasimu mwenzetu wa makombe pamoja na wachezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wale tunaoamini uwepo wa Mungu kama ndio muweza wa vyote acha tuendelee kumshukuru na kumshangaa kwa uwezo wake mkubwa alionao, jaribu kufikiria ni yeye peke yake ndio aliyetuumba halafu ametujaalia tuwe na uwezo tofauti wa kufikiri na ukienda mbali zaidi unaweza kusema huyu Mungu amejawa na ubaguzi kwenye maamuzi yake.
nimeanza kwa kujilinda ya kwamba binadamu tuna utofauti mkubwa sana wa kuelewa mambo hivyo basi ni matumaini yangu sitokutana na comment zenye kuudhi zaidi bali nitakutana na comment zitakazonifuta ujinga wangu uliojaa kwenye ubongo wangu.

nimekuwa nikifuatilia dirisha la usajili kuanzia mwezi Agosti na January kwa umakini kabisa nikiwa na mategemeo ya kuwashuhudia wachezaji bora wakisajiliwa na manchester united, si lengo langu kuwazungumzia wachezaji tuliowasajili bali dhumuni langu kuu ni kuangazia hii ishu ya usajili wa mlinzi wa kati ambayo ndio imekuwa iki trend zaidi kiupande wetu.

hivi ni kweli jose mourinho ameondoka manchester united au ameng'atuka tu kama marehemu bwana yule?
nikisema kilichoondoka ni kiwiliwili cha mourinho lakini fikra zake zimebaki vile vile nitakuwa nakosea?

tokea jose mourinho yupo na ameondoka, amekuja mwengine lakini bado nashangazwa kuona tunaendelea kucheza mdundo wa mourinho kuanzia mashabiki, wapiga kelele, lengends wanaoheshimika, viongozi wa ndani wa klabu na hata vyombo vya habari.
leo hii tetesi zetu zote zinahusu usajili wa beki wa kati kama kipaombele chetu kikubwa, kwa udhaifu wangu wa kuelewa mambo nimebaki najiuliza:

tutakapofanikiwa kusajili walinzi aina ya koulibally na van virgil ndio tutakuwa na timu yenye uwezo wa kusimama na wapinzani wetu wakubwa barani ulaya?

ed woodward amekuwa na tabia za kusajili wachezaji kwa sababu ya mdundo wa muziki, wasiwasi wangu mkubwa msimu ujao atatafuta walinzi wakati kama kawaida yake kwa gharama halafu atatia pamba masikioni, kwa nini asitie pamba masikioni wakati sote tunaimba wimbo mmoja tu aliouanzisha jose mourinho wa kutafuta mlinzi wa kati?

  • hivi jamani tumeridhika namba 7 wetu aendelee kuwa juan mata peke yake msimu ujao?
  • tuna uhakika gani kama alex sanchez atarudi kwenye ubora wake na kuleta upinzani kwa huyu mchezaji wa siku anthony martial?
  • tumeridhika namba 6 wetu aendelee kuwa nemanja matic msimu ujao bila ya kuwa na mpinzani?
  • wakati huu ambao fred haeleweki ina maana tumeridhika kumuona ander herrera mpinzani wake mkubwa akiwa ni scott mctominay?
kuna hii ishu ya jesse lingard ambayo nayo imekuwa ikileta mjadala mkubwa kwa wafuatiliaji wa mpira wa manchester united, wapo mashabiki wanaomchukulia lingard kama ni mchezaji underrated pale klabuni lakini kazi yake anayoifanya ni kubwa sana na wapo wengine wanamchukulia ni mchezaji wa mechi maalum.
pande zote naziona zipo sahihi kihoja zao kwa sababu tulishawahi kuwa na mchezaji mwenye sifa za lingard ambaye ni ji sung park hivyo basi hakuna ajabu kwa lingard kuwepo klabuni.

lakini siamini kama ji sung park aliwahi kucheza mechi tano mfululizo nyakati za SAF na hii inatokana zaidi tulikuwa na wachezaji kama vile giggs, nani, ronaldo ambao walikuwa ni bora zaidi kimfumo. Cha ajabu nyakati hizi mchezaji kama jesse lingard amekuwa ni tegemeo kwenye mechi yoyote na hakuna anayeonekana kujali, na kama yupo anayejali mbona sikutani na tetesi za usajili wa kiungo mshambuliaji?
kwa mtazamo wangu ndani ya klabu yetu tunamuhitaji namba 10 atakayetupa faida ya waziwazi zaidi ya hii anayotupa jesse lingard nyakati hizi za OGS.

nimeona mechi hizi OGS anajenga utatu mtakatifu pale mbele kwa kumweka martial, lingard na rashford, kwa utatu huu kama tusipotafuta namba 10 mwenye uwezo zaidi ya jesse lingard kwenye eneo la juu basi tutaendelea kuwa under dog kwa wapinzani wetu wakubwa barani ulaya, jamani kuna utofauti mkubwa sana unapoziangalia movement za robert firmino halafu ukageuza kioo ukaziangallia movement za jesse lingard pale juu.

nguvu hii tunayoitumia kwa ajili ya kumpigia kampeni ed woodward atuletee koulibally pia tuitumie kwa dhumuni la kumpigia kampeni mwanadamu mwenye sifa za christian ericksen atue manchester united.
tunamhitaji eriksen kuliko yeye anavyohitaji kuishi uwanja wa matofali, tusipokuwa makini majirani zetu watambeba ili akazibe pengo la david silva.

tusihadaliwe na kiza kifupi tukafanya haja zetu njiani tukitegemea hakuna atakayefanikiwa kukiona kinyesi chetu, ni suala la muda tu kila mpita njia atakiona kinyesi chetu tulichokiweka njiani usiku wa jana.

nasubiri comment za kukosolewa kistaarabu zaidi ili na mimi nitolewe ujinga
1548164299609.png
 
Huyu kiumbe ni hatari sana sijui kwanini Man u hawajawahi kuona umuhimu wa kumtoa pale WH

View attachment 1002065

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Para yako ya mwisho nimeona mantiki lakini mimi nitafurahi zaidi ubingwa akichukua city kuliko hasimu mwenzetu wa makombe pamoja na wachezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
kila mtu na mtazamo wake ila usisahau utakuwa ni ubingwa wa tatu kwa manchester city ndani ya miaka 6.
sas tujiulize manchester city hii inyoonekana kupwaya baadhi ya maeneo msimu huu tuna uwezo wa kusimama nayo kimpira?

msimu uliopita liverpool tuliwapita kwa alama 6 kama sikosei, msimu huu tatizo kubwa lilianzia kwa jose mourinho alikubali kupoteza pambano kabla hajaingia uwanjani kwa kisingizio cha defence wakati msimu uliopita david de gea alikuwa na clean sheet zinazokaribia 20.

ndani ya dirisha hili tuna uwezo wa kutafuta wachezaji watakaowazidi wachezaji wa liverpool kwenye ishu ya viwango lakini hatuna uwezo wa kutafuta wachezaji wote watakaoendana na manchester city kiviwango, na hii ndio tofauti kubwa ninayoiona.

naichukulia liverpool kama ni manchester united ile ya mwishoni chini ya sir alex ferguson iliojaza average player chini ya mwalimu bora.
  1. david silva, bernardo silva, mahrez, aguero, sane leroy, raheem sterling, gabriel jesus, fernandinho, walker, mendy, laporte, stones, kompany, delph,
  2. salah, mane, firmino, shaqiri, fabinho, keita, henderson, widjnaldum, virgil, lallana, sturridge, milner, robertson, alexander arnold.
bado mkuu hujaona utofauti?
kuna siku nililala nikaota guardiola ameondoka manchester city nikafurahi sana, kumbe asubuhi yake naamka naambiwa kamsukuma mpinzani wake magoli 9.
😛😛😛😛
 
fundi wangu naomba nikuulize swali kidogo japiokuwa si sehemu yake :
hivi yuko wapi naby keita niliyemuona mechi ya mwanzo dhidi ya west ham?

japokuwa naichukia sana liverpool FC lakini bado nitafurahi endapo mutakapofanikiwa kubeba ubingwa msimu huu, kiupande wangu nadhani itakuwa ni kitendo cha ujinga kama nitawaombea manchester city wabebe tena ubingwa kwa mara ya pili mfululizo japokuwa matumaini yapo.
  1. kwa nini niichukie liverpool kwa sababu dhaifu ya kihistoria wakati kiuhalisia nguvu yao ya matumizi sokoni haina tofauti kubwa na ya kwetu sisi na tunawazidi kimatumizi ya mishahara?
  2. kwa nini niichukie liverpool isibebe ubingwa wakati nusu ya wachezaji wao wana viwango vya kawaida, fikiria aina ya wachezaji kama milner, henderson, matip, lovren, origi, lalllana, arnold alexander, sturidge, moreno, gomez na wengineo. Kivyovyote timu kama hii haiwezi kusimama miaka mitatu mfululizo, jamani ni rahisi sana kumvua ubingwa liverpool kuliko manchester city.
sote ni mashahidi msimu huu kelvin de bruyne amecheza mechi nane za ligi kuu na david silva hayupo vizuri sana ukilingansiha na msimu uliopita na tayari ana miaka 32 bila ya kusahau performance ya fernandinho msimu huu imekuwa ikiathiriwa na majeruhi madogo madogo

kivyovyote endapo manchester city atafanikiwa au asifanikiwe kubeba ubingwa kwa ninavyomfahamu guardiola lazima ataingia sokoni kuziba nafasi za wachezaji wawili hao ambao wameonyesha uchovu msimu huu.

kwenye ishu ya matumizi majirani zetu wanaendelea kutuacha mbali sana na hata aina ya wachezaji wanaowasajili chini ya guardiola ni wachezaji wa uhakika isitoshe jamaa ana ushawishi mkubwa sana kwenye soko la usajili.

usishangae kesho asubuhi unakutana na habari za isco au christian eriksen kuhamia manchester city ili awe mbadala wa david silva msimu ujao.
nimeota thiago alcantara, koke na ndombele wanakuja etihad.

hivi tuna uhakika gani kama sheikh ed woodward atamwaga kitita kikubwa msimu ujao?
jurgen klopp hana uhakika kama atamwagiwa kitita kikubwa kwa ajili ya usajili.
josep guardiola ana uhakika atamwagiwa hela kwa ajili ya usajili msimu ujao.​

nitakuwa mjinga kuiombea dua mbaya liverpool ya henderson isibebe ubingwa kwa sababu ya historia yetu, siwezi kufurahia kumvua ubingwa manchester city msimu ujao bali nitafurahi kumvua ubingwa liverpool.

Maombi yako yakawe sahihi mkuu.

Kuhusu Keita, imekuwa ni kilio cha washabiki wengi wa Liverpool, tulimnunua, tukakubali kumsubiri mwaka mzima, amekuja, tunamchezesha namba isiyo yake ili kulinda maslahi ya Wachezaji wa Kiingereza.

Inaumiza sana.
 
kila mtu na mtazamo wake ila usisahau utakuwa ni ubingwa wa tatu kwa manchester city ndani ya miaka 6.
sas tujiulize manchester city hii inyoonekana kupwaya baadhi ya maeneo msimu huu tuna uwezo wa kusimama nayo kimpira?

msimu uliopita liverpool tuliwapita kwa alama 6 kama sikosei, msimu huu tatizo kubwa lilianzia kwa jose mourinho alikubali kupoteza pambano kabla hajaingia uwanjani kwa kisingizio cha defence wakati msimu uliopita david de gea alikuwa na clean sheet zinazokaribia 20.

ndani ya dirisha hili tuna uwezo wa kutafuta wachezaji watakaowazidi wachezaji wa liverpool kwenye ishu ya viwango lakini hatuna uwezo wa kutafuta wachezaji wote watakaoendana na manchester city kiviwango, na hii ndio tofauti kubwa ninayoiona.

naichukulia liverpool kama ni manchester united ile ya mwishoni chini ya sir alex ferguson iliojaza average player chini ya mwalimu bora.
  1. david silva, bernardo silva, mahrez, aguero, sane leroy, raheem sterling, gabriel jesus, fernandinho, walker, mendy, laporte, stones, kompany, delph,
  2. salah, mane, firmino, shaqiri, fabinho, keita, henderson, widjnaldum, virgil, lallana, sturridge, milner, robertson, alexander arnold.
bado mkuu hujaona utofauti?
kuna siku nililala nikaota guardiola ameondoka manchester city nikafurahi sana, kumbe asubuhi yake naamka naambiwa kamsukuma mpinzani wake magoli 9.
😛😛😛😛
Unadhani Liverpool wakichukua ubingwa ndio timu yao itakuwa weak ?

Football ya sasa ni pesa Klopp aliponda usajili wa Pogba baada ya mwaka akanunua GK & CB kuvunja rekodi na umeona hao wachezaji 2 ndio wameifikisha Liverpool ilipo.

Man City,Chelsea, Liverpool wote wataendelea kutoa fedha kuimarisha vikosi vyao wachukue/wasichukue ubingwa.

Man City hata wasiponunua tayari wana timu ya kugombania ubingwa hata miaka 4 ijayo Pep anahitaji backup/replacement ya Fernandinho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wale tunaoamini uwepo wa Mungu kama ndio muweza wa vyote acha tuendelee kumshukuru na kumshangaa kwa uwezo wake mkubwa alionao, jaribu kufikiria ni yeye peke yake ndio aliyetuumba halafu ametujaalia tuwe na uwezo tofauti wa kufikiri na ukienda mbali zaidi unaweza kusema huyu Mungu amejawa na ubaguzi kwenye maamuzi yake.
nimeanza kwa kujilinda ya kwamba binadamu tuna utofauti mkubwa sana wa kuelewa mambo hivyo basi ni matumaini yangu sitokutana na comment zenye kuudhi zaidi bali nitakutana na comment zitakazonifuta ujinga wangu uliojaa kwenye ubongo wangu.

nimekuwa nikifuatilia dirisha la usajili kuanzia mwezi Agosti na January kwa umakini kabisa nikiwa na mategemeo ya kuwashuhudia wachezaji bora wakisajiliwa na manchester united, si lengo langu kuwazungumzia wachezaji tuliowasajili bali dhumuni langu kuu ni kuangazia hii ishu ya usajili wa mlinzi wa kati ambayo ndio imekuwa iki trend zaidi kiupande wetu.

hivi ni kweli jose mourinho ameondoka manchester united au ameng'atuka tu kama marehemu bwana yule?
nikisema kilichoondoka ni kiwiliwili cha mourinho lakini fikra zake zimebaki vile vile nitakuwa nakosea?

tokea jose mourinho yupo na ameondoka, amekuja mwengine lakini bado nashangazwa kuona tunaendelea kucheza mdundo wa mourinho kuanzia mashabiki, wapiga kelele, lengends wanaoheshimika, viongozi wa ndani wa klabu na hata vyombo vya habari.
leo hii tetesi zetu zote zinahusu usajili wa beki wa kati kama kipaombele chetu kikubwa, kwa udhaifu wangu wa kuelewa mambo nimebaki najiuliza:

tutakapofanikiwa kusajili walinzi aina ya koulibally na van virgil ndio tutakuwa na timu yenye uwezo wa kusimama na wapinzani wetu wakubwa barani ulaya?

ed woodward amekuwa na tabia za kusajili wachezaji kwa sababu ya mdundo wa muziki, wasiwasi wangu mkubwa msimu ujao atatafuta walinzi wakati kama kawaida yake kwa gharama halafu atatia pamba masikioni, kwa nini asitie pamba masikioni wakati sote tunaimba wimbo mmoja tu aliouanzisha jose mourinho wa kutafuta mlinzi wa kati?

  • hivi jamani tumeridhika namba 7 wetu aendelee kuwa juan mata peke yake msimu ujao?
  • tuna uhakika gani kama alex sanchez atarudi kwenye ubora wake na kuleta upinzani kwa huyu mchezaji wa siku anthony martial?
  • tumeridhika namba 6 wetu aendelee kuwa nemanja matic msimu ujao bila ya kuwa na mpinzani?
  • wakati huu ambao fred haeleweki ina maana tumeridhika kumuona ander herrera mpinzani wake mkubwa akiwa ni scott mctominay?
kuna hii ishu ya jesse lingard ambayo nayo imekuwa ikileta mjadala mkubwa kwa wafuatiliaji wa mpira wa manchester united, wapo mashabiki wanaomchukulia lingard kama ni mchezaji underrated pale klabuni lakini kazi yake anayoifanya ni kubwa sana na wapo wengine wanamchukulia ni mchezaji wa mechi maalum.
pande zote naziona zipo sahihi kihoja zao kwa sababu tulishawahi kuwa na mchezaji mwenye sifa za lingard ambaye ni ji sung park hivyo basi hakuna ajabu kwa lingard kuwepo klabuni.

lakini siamini kama ji sung park aliwahi kucheza mechi tano mfululizo nyakati za SAF na hii inatokana zaidi tulikuwa na wachezaji kama vile giggs, nani, ronaldo ambao walikuwa ni bora zaidi kimfumo. Cha ajabu nyakati hizi mchezaji kama jesse lingard amekuwa ni tegemeo kwenye mechi yoyote na hakuna anayeonekana kujali, na kama yupo anayejali mbona sikutani na tetesi za usajili wa kiungo mshambuliaji?
kwa mtazamo wangu ndani ya klabu yetu tunamuhitaji namba 10 atakayetupa faida ya waziwazi zaidi ya hii anayotupa jesse lingard nyakati hizi za OGS.

nimeona mechi hizi OGS anajenga utatu mtakatifu pale mbele kwa kumweka martial, lingard na rashford, kwa utatu huu kama tusipotafuta namba 10 mwenye uwezo zaidi ya jesse lingard kwenye eneo la juu basi tutaendelea kuwa under dog kwa wapinzani wetu wakubwa barani ulaya, jamani kuna utofauti mkubwa sana unapoziangalia movement za robert firmino halafu ukageuza kioo ukaziangallia movement za jesse lingard pale juu.

nguvu hii tunayoitumia kwa ajili ya kumpigia kampeni ed woodward atuletee koulibally pia tuitumie kwa dhumuni la kumpigia kampeni mwanadamu mwenye sifa za christian ericksen atue manchester united.
tunamhitaji eriksen kuliko yeye anavyohitaji kuishi uwanja wa matofali, tusipokuwa makini majirani zetu watambeba ili akazibe pengo la david silva.

tusihadaliwe na kiza kifupi tukafanya haja zetu njiani tukitegemea hakuna atakayefanikiwa kukiona kinyesi chetu, ni suala la muda tu kila mpita njia atakiona kinyesi chetu tulichokiweka njiani usiku wa jana.

nasubiri comment za kukosolewa kistaarabu zaidi ili na mimi nitolewe ujinga
View attachment 1002065

Hata wakati wa fergie,scholes alishauri aletwe modric kama mbadala wake dhidi ya schneider na nasri lakini babu aliziba masikio na balaa lake tukaliona. Tusipomchukua majira haya ya joto tusahau tena kuhusu huyu bwana,ataichagua real dhidi yetu endapo ushindani utatokea.
 
kuna siku nililala nikaota guardiola ameondoka manchester city nikafurahi sana, kumbe asubuhi yake naamka naambiwa kamsukuma mpinzani wake magoli 9.
😛😛😛😛

We jamaa huwa nikiona notification kwamba umereply nafungua nikijua nakutana na makala maalum.

Hayo maombi yako kwa Pep yananikumbusha jinsi nilivyokuwa naomba Fergie astaafu, nakumbuka kuna n katikati ya 2006 - 2009 kulikuwa na tetesi za yeye kustaafu, nilikuwa kila siku nasubiri tamko rasmi.

Mpaka alivyokuja kung'atuka nikawa nawaambia watani zangu wa Man Utd kwamba tutabadilishana siti, na nyinyi mpokee maumivu.

Naomba Mungu afanikishe tufute gundu la EPL msimu huu, ili tuongeze nguvu kuhakikisha tunaitafuta namba 20 ndani ya misimu minne ijayo.

Na kwa hali yenu mtakuwa bado mnahangaika na makocha.
 
kila mtu na mtazamo wake ila usisahau utakuwa ni ubingwa wa tatu kwa manchester city ndani ya miaka 6.
sas tujiulize manchester city hii inyoonekana kupwaya baadhi ya maeneo msimu huu tuna uwezo wa kusimama nayo kimpira?

msimu uliopita liverpool tuliwapita kwa alama 6 kama sikosei, msimu huu tatizo kubwa lilianzia kwa jose mourinho alikubali kupoteza pambano kabla hajaingia uwanjani kwa kisingizio cha defence wakati msimu uliopita david de gea alikuwa na clean sheet zinazokaribia 20.

ndani ya dirisha hili tuna uwezo wa kutafuta wachezaji watakaowazidi wachezaji wa liverpool kwenye ishu ya viwango lakini hatuna uwezo wa kutafuta wachezaji wote watakaoendana na manchester city kiviwango, na hii ndio tofauti kubwa ninayoiona.

naichukulia liverpool kama ni manchester united ile ya mwishoni chini ya sir alex ferguson iliojaza average player chini ya mwalimu bora.
  1. david silva, bernardo silva, mahrez, aguero, sane leroy, raheem sterling, gabriel jesus, fernandinho, walker, mendy, laporte, stones, kompany, delph,
  2. salah, mane, firmino, shaqiri, fabinho, keita, henderson, widjnaldum, virgil, lallana, sturridge, milner, robertson, alexander arnold.
bado mkuu hujaona utofauti?
kuna siku nililala nikaota guardiola ameondoka manchester city nikafurahi sana, kumbe asubuhi yake naamka naambiwa kamsukuma mpinzani wake magoli 9.
😛😛😛😛
Naelewa unachokisema ila hiyo unayotaka ipate ubingwa au kuilinganisha na utd ya fergie naona ni makosa makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naelewa unachokisema ila hiyo unayotaka ipate ubingwa au kuilinganisha na utd ya fergie naona ni makosa makubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimeikusudia manchester united ile iliobeba ubingwa msimu wa 2012/ 2013 ambayo ndio ya mwisho kwenye utawala wa fergie, ilijaza wachezaji wengi wenye viwango vya wastani ambao hawana tofauti kubwa na wachezaji wanaounda kikosi cha liverpool kwa misimu miwili hii tunayokwenda nayo.
phil jones, jonny evans, anderson, smalling, fletcher, welbeck, cleverley, alexander buttner, nick powell, ryan giggs, scholes, ferdinand wote walikuwa kwenye peak yao ya mwisho.
kwa kiasi kikubwa tuliringia ubora uliotukuka kutoka kwa fergie kuliko viwango vya mchezaji mmoja mmoja

hata ukiangalia kikosi cha liverpool kwa mtazamo wangu lakini nao pia wamejaza wachezaji kama hao lakini ubora wa mwalimu ndio unawafanya waonekane ni timu iliokamilika haliyakuwa backup zao kwa kiasi kikubwa hadhirizishi.
henderson, milner, lovren, matip, moreno, sturridge, lallana, origi, clyne, gomez, oxlade, shaqiri, danny ings.

naamini kama tutafanya usajili kwa kuangalia mahitaji muhimu ya timu yetu bila ya kuongozwa na mihemuko ya kibiashara basi tunao uwezo wa kuwafikia na kuipita fomu walioionyesha liverpool msimu huu, kuna maeneo madogo sana ndio wanatuzidi liverpool ukilinganisha na manchester city ambao wana kikosi kilichosheni quality player wengi dhidi yetu.

bado sijaliona kosa langu hapo kwa sababu sijathubutu kumlinganisha fergie na klopp kiubora na kimafanikio.
 
Back
Top Bottom