Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu msimu Liverpool hamwachii City, cha kufanya City aanze kuweka mipango ya msimu ujao.

Kuna majeruhi kadhaa wakirudi huku timu ikiwa bado inaongoza hata kwa point 1 tu, City asahau.

Gomez, TAA, Lovren; hawa ni defense.

Wijnaldum (huyu majeruhi yake siyo makubwa), then uje OX Chamberlain.

Hao wakirudi tunafunga mahesabu.
Yaani Mimi ni heri Man U tusiingie top 4 kuliko Liverpool kuchukua kombe. Naichukia sana hiyo timu
 
Yaani Mimi ni heri Man U tusiingie top 4 kuliko Liverpool kuchukua kombe. Naichukia sana hiyo timu

Kuna washabiki wa Man Utd kipindi cha nyuma sana nilikuwa nawaambia mateso yetu yataisha siku Babu Fergie akistaafu.

Na kweli alivyostaafu mmekuwa na hali mbaya sana, tunasubiri kuondoa gundu la EPL mara moja tu, mengine yatakuja.
 
Mkuu mimi namchukia mjivuni Pep kuliko Klop. Huwa namuona Klop km wale watu ktk jamii ambao huwa wanaelewana na kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa upande wangu shida siyo Mwl. Shida ni uhasama tulio nao hao jamaa. Kama unavyojua hawa Liverpool ndio tunaoshindana nao kimafanikio zaidi. City bado sana ni kama underdog kimafanikio dhidi yetu. Ila liver wakichukua asee tutasahau kama walikuwa hawajachukua ubingwa kwa muda Wa 27 yrs kwa hizo kelele na tambo
 
You are very right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi namchukia mjivuni Pep kuliko Klop. Huwa namuona Klop km wale watu ktk jamii ambao huwa wanaelewana na kila mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Paul Scholes and G Neville on Who he prefer between City and Liverpool to win the tittle

Scholes: City over Liverpool

G Neville: Choosing one among them is like choosing one man between the two to sleep with your wife

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NATIONAL PAPER TALK
  • Paul Pogba has made a dramatic U-turn on his Manchester United contract stance as he is now ready to sit down for talks over extending his current deal.
  • Brighton ready to spend £7m on Argentinos Juniors midfielder Alexis Mac Allister, then loan him back for the rest of the season.
  • RB Leipzig's Paul Mitchell is the front runner for the director of football job at Manchester United.
  • Real Madrid favour selling James Rodriguez to Tottenham over Arsenal as a bait to sign Tottenham ace Christian Eriksen instead of selling him outright.
  • Tottenham are willing to sell outcast striker Vincent Janssen for a knockdown £15m this month.
 
Mourinho: “My philosophy depends. I’d love to go to a club and be in conditions to do what Jurgen and Pep did. When Jurgen is in the club and wins absolutely nothing for three and a half years, still has the trust, confidence to keep going.” #mufc [beIN] beIN SPORTS on Twitter
jose mourinho aliipenda sana timu yetu na kwa kauli zake anazozizungumza anaonekana bado ana mapenzi nayo lakini tatizo lake kubwa alishindwa kwenda na mdundo wa muziki, amekuwa hana tofauti na muimbaji yule aliyepatwa na msiba wa baba yake hivi karibuni.

natamani kukuona tena bwana jose mourinho ukirudi tena kwenye soka la ushindani, lakini utakaporudi unapaswa uje na tiba ya kisasa ya kupambana na josep guardiola na kaka yake jurgen klopp.

tunakuomba uachane na dawa za miti shamba ambazo tiba yake kubwa inayoaminika kwa sasa ni kutibu nguvu za wanaume wa dar kwa ajili ya kubebea mizigo bandarini nyakati za usiku.
 
Back
Top Bottom