Hata mimi ananipa hard time sana..too soft and slopy,ari yake ipo chini..hana ule upambanaji wa kutaka kuwa juu,ni kama vile ameridhika na alipo..kwa hali hii akiendelea nayo sidhani kama timu yetu itakuwa inahitaji uwepo wake..tunataka watu wakuset rythm kule mbele na sio watu wakucheza too soft, and too slopy..
Kuna mtu nilikuwa nabishana naye akasema kuwa ni Personality yake..yani vile tunavyomuona ndivo alivyo..Nilibishana naye sana
Mimi nachoona ni hana ari binafsi..Talent wise anamzidi Rashford ila rashford anajituma sana uwanjani.
This boy need to change..la sivyo sioni nafasi yake pale OT.
Sent using
Jamii Forums mobile app