Wachezaji wengi wenye talent kubwa ya mpira na kufanikiwa, huwaangushi kirahisi, huwatoi kwenye mpira kirahisi, martial ana talent ila ukimgusa tu kaachia mpira,
Muangalie messi, dybala, robben, hazard, hawana miili, ila huwatoi kwenye reli kirahisi,
Rahsford yeye ni kama ronaldo tu, kipaji sio sana. ila wengi wetu humu tumekua mashabiki wa ronaldo sababu ya kupiga mikwaju hapa na ulaya, anaweka, popote pale anapiga na anaweka, header anaweka, shoto anakuweka, kulia anakuweka, ila talent hana sana, ila tizi analo kupita karibu wote.
Sent using
Jamii Forums mobile app