Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumecheza vizuri lakini Ndio match ambayo tumepoteza nafasi nyingi, licha ya kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa lakini tumeonesha mapungufu mengi pia,Mpira ulikuwa wa wazi mno, nilitegemea ushindi wa zaidi ya Magoli 4.

Uchovu wa match nyingi mfululizo tulizocheza pamoja na match ngumu na Tot nahisi ulichangia kupunguza ushindi wetu Leo wa goli nyingi, kuna Nafasi Pogba, Martial, Rshaford na ile ya Lingard yalikuwa Magoli ya wazi.

Marcus Rashford anazidi kuja vizuri, anaonyesha ukomavu na utulivu kwenye 18.

Amefunga goli zuri sana, akitumia kipaji alichonacho.

All in all tulikosa Kasi kwenye kushambulia ambayo ingewachanganya Wapinzani wetu na kupelekea ushindi mkubwa.

Match saba mfululizo tunashinda, ni record kwa Ole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule chelsea nae katuzidi 3 mpira una maajabu sana wale sari ball hawana hamu.
Vs Burnely
Vs Leicester City
Vs Fulham

Naziona point 9 hizi hapa.

Arsenal
Vs Cardif City
Vs Man City
Vs Hudesfield

Hapa hata afanyajee hapati zaidi ya point 6.

Chelsea
Vs Bournemouth
Vs Huddesfield Town
Vs Man City

Hapati zaidi ya point 6.

Tottenham
Vs Fulham
Vs Watford
Vs Newcastle United

Fixture nyepesi kwake.

Ushindi wa Arsenal leo umeleta matumaini si ya kuingia top 4. Ila kuwa watatu kabisa. Mechi zitakazotusumbua ni kama 2 tu na Man City na Liverpool tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vs Burnely
Vs Leicester City
Vs Fulham

Naziona point 9 hizi hapa.

Arsenal
Vs Cardif City
Vs Man City
Vs Hudesfield

Hapa hata afanyajee hapati zaidi ya point 6.

Chelsea
Vs Bournemouth
Vs Huddesfield Town
Vs Man City

Hapati zaidi ya point 6.

Tottenham
Vs Fulham
Vs Watford
Vs Newcastle United

Fixture nyepesi kwake.

Ushindi wa Arsenal leo umeleta matumaini si ya kuingia top 4. Ila kuwa watatu kabisa. Mechi zitakazotusumbua ni kama 2 tu na Man City na Liverpool tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa ya City, hiyo tusiwe na hesabu nayo kabisa. Ila Liver lolote laweza tokea. Ila tusipokuwa makini tukakazana na attack attack, hizi timu zitatupigs goli nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom