Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu Chelsea ka droo huyu asahau ubingwa tu....
 
Taratibu ... dk 90 bado hazijaisha. Umesahau siku ile walitukandamiza goli 3 ndani ya dk 4?

Hahahaha ni kweli kabisa mkuu wala hujakosea kabisa...united wanacheza mpira mzuri sana....
 
duh! mwaka huu wetu tena. City watachelewa sana kuamka wanaweza wakadundwa game 3 hata 4 mfululizo!

Alafu wapo full squad na company wao walikuwa wanasema wamemkosa kwenye team
 
Leo net full kuzingua napakua mapicha lakini yanagoma kupost
 
Hongereni kwa Ushindi Wapinzani wangu naona wapinzani wenu wa Ujirani Mafuriko yamewakumba ya Mvua sijui Mancini leo atalalamika nini kwa mikono ya kitaliano Sign.
 
Mwenzie bad boy Ravel Morrison kauzwa West Ham leo,SAF inabidi awape nafasi hawa vijana

Wasiwe na papara ,sasa si umeona Morrison alijua atapata timu premiership matokeo anakwenda kucheza na Doncaster Rover. Pogba akikubali ku extend contract yake kwanza europa league atakuwa anacheza na akifanya kweli msimu ujao kati anakuwa anacheza yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…