Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mungu atasaidia mkuu lazima tumpige mtu
Mlivyomnyoosha Tottenham siku ile mlinitisha.
Mungu atasaidia mkuu lazima tumpige mtu
Solskjaer naona anachembechembe za u red devils inanipa iman kama akipewa timu anaweza kufanya vizur akapatiwa na baadhi ya wachezaj wakomavuMlivyomnyoosha Tottenham siku ile mlinitisha.
Solskjaer naona anachembechembe za u red devils inanipa iman kama akipewa timu anaweza kufanya vizur akapatiwa na baadhi ya wachezaj wakomavu
Hata namba 10 wa maana lingard simuoni kama mbunifu tunamchezaj mmoja tu mbunifu ni pogba vipi akiumwa? Means timu itakuwa haina ubunifu vyanzo vya ndani vinasema mata hana kasi solskjaer hamwamini sana kwa hiyo tuna pogba tu.Timu inahitaji beki nzuri, kwenye 4 na 5 mkipata partnership nzuri mtasumbua sana msimu ujao.
Ashley Young pia umri umeenda, succession plan inahitajika.
Kumbe ni mshabiki wa liverpool ya klopp mmeibuka wengi sana msikojulikana wale wadandia mafanikio.
Acha uongo.Brighton aliwapiga 3-1 mechi iliyopita, suburin kipigo leo.
Hivi hiyo dogo kapotelea wapi? Lakini anajituma!!!Kila kheri United leo nataka hii nafasi ya 6 waingie wale jamaa wa makelele waliokuwa wanasema TORREIRA ndio kiungo bora EPL kwa sasa.
United itashinda hii mechi mkuu ggmuBaadae kutakuwa na msiba humu, Brighton anaenda kuwafanya kitu mbaya.
Leo itakuwa ni mwanzo wa kampeni yetu ile ya Ole-OUT.
duu hili dongo linachoma kwa moyo🇸🇵🇴🇷🇹🇸🇭🇴🇼 FUN
*6 minutes of silence for Manchester United for becoming the first club in the History of English Premier League to Spend 100 days in one Position*
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kheri United leo nataka hii nafasi ya 6 waingie wale jamaa wa makelele waliokuwa wanasema TORREIRA ndio kiungo bora EPL kwa sasa.
Tulicheza na timu imara mno kwa Sasa, Kati yetu na Tot, tot walikuwa wazuri zaidi yetu Dimbani, walituzidi kila Idara pale Wembely Kasoro Nafasi ya kipa tu bahati tu haikuwa yao.Pamoja na kwamba tunashinda Lakini timu yetu bado haipo imara bado defence ni mbovu na viungo hasa 6 na 10 wote tuliangalia mech ya spurs kilichotukuta timu inahitaji uwekezaji wa maana umahiri wa de gea umetupa point 3 dakika 45 za kipindi cha pili zilikuwa ni spurs vs de gea bado hoja ya mourinho inasimama palepale mabek wanatakiwa katika mech 6 tuna cleenshit 2 tu
Tushukur Mungu mchezaji wetu mwenye bahat marcus rashford akianza yeye kufunga goli huwa halirudi na tunashinda mechi ndicho kilichowapata spurs.