Mimi nikiwa kwa TV afu goli lifungwe nisipost?? Nitaumwa kwa kweliThank you my dear, hahaha style mpya ya mwaka huu,hapana dear basi tu sijui kwanini najikuta mpka mechi iishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann uteseke?Si kwamba timu ikiwa bora basi haifungwi, nitajie timu ipi iliyo bora ambayo haijawahi kufungwa miaka yote Europe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Ole alifanya mabadiliko ya wapi Rash na Jlingz wanacheza. Ole akisaidiwa na Mike Phelan hawezi kukosa tactics aisee.Mkuu Nilikuwa namjibu huyo jamaa ambaye anang'ang'ania kuwa OGS Hana mbinu za uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sare ni matokeo mazuri zaidi kwetu, ila Arsenal anashinda hii mechi.
Leo hapa Chelsea na arsenal wanapaona ka kituo Cha polisi.
Na sisi pia mechi mbili mfululizo tutakuwa nyumbani OT machinjioni..!!!Sare ni matokeo mazuri zaidi kwetu, ila Arsenal anashinda hii mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app
RADIKA , Naona kaja na ID nyingine. Nimeshasema sote ni united silaha zote chini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha noma sana.Zile Stats za Kepa vs De Gea hatutoziona tena kama zilivyopotea stats za Joginho, Torreira.
Mkuu mathematically Arsenal akishinda dhidi ya Chelsea itakuwa advantage kubwa kwetu. Mkuu unajua unahamu sana ya kutoka nafasi ya sita, ila fikiria, Chelsea katuzidi point sita, arsenal tuko naye sawa, just goal difference. So arsenal akishinda na sisi Tukishinda dhidi ya BHA Chelsea atadrop na kuwa only 3 points ahead. Hiyo ni advantage kwetu.Sare ni matokeo mazuri zaidi kwetu, ila Arsenal anashinda hii mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app