Ndio matatizo ya kutoangalia,pamoja na kuzomewa na uwanja mzimalakini Evra alitulia na kucheza vizuri
​ynwa.
Sidhani kama sub ya Scholes ilikuwa sababu ya kufungwa kumbuka kuwa kwa sasa Scholes sio mtu wa kucheza dakika 90 .Nafikiri Kosa kubwa lilikuwa kumchezesha Welbeck lone striker akikabiliana na timu yenye mabeki 5 wazoefu,angekuwa na msaidizi mapema tungeweza kuongeza goli badala ya kulinda golitatizo la man u ni kocha. Sub ya scholes ilitumaliza, pia kumpanga de gea game ya nguvu kama hii na kumweka welbeck lone striker badala ya mzoefu berbatov + kuchelewa kuwabadilisha giggs na scholes ni dhahiri tactics za saf zime expire.anapanga team kwa kufata historia ya perfomance ya wachezaji badala ya uhalisia wa sasa!
Nakubaliana na wewe ,tatizo la Liverpool wanalazimisha kucheza formation ambayo itamfaa Caroll ndio maana wanapata tabu sana kufunga magoli.Viuongo wenu tangu aumie Lucas imekuwa pengo kubwa sana bora Daglish amchezeshe Agger kama midfielder kuliko HendersonKama wapinzani Wenzangu wa Jadi Poleni, Ila ukweli Manchester United ndio walicheza vizuri Evra alipanda maoni yangu alicheza vizuri as professional, Enrique hakucheza vizuri aliwacha Valencia anapiga Cross sana... LFC tulitumia nafasi tu. Caroll ilikuwa kama kucheza 10 kama sio 9. United walicheza kwa utaratibu na mpira mzuri hasa Scholes, Paul Scholes kaonyesha wachezaji wengi leo namna ya kucheza mpira kwa utulivu nakumsaidia Carrick kufuata mfano maybe watu kama kina Handerson wawe wanaiga kuwatizama wenye ujuzi. Zaidi ya hapo ni Ushindi tu ndio unakuwa muhimu kwenye mpira 2-1 ni nzuri Bellamy alibadilisha Game kidogo, Steve Gerrard alichoka mbaya kwa kuhangaika kukiwa na mijitu kama Downing na Carrol i hope wataondolewa na Kenny pia aondoke nao. United waliocheza Vizuri ni Paul Scholes Man of the Match Valencia then Evra LFC Kelly,Bellamy, Kuyt sababu ya Goli tu Handerson kajitahidi, Andy Carrol ilikuwa 0 kawapa mabeki Raha wa united.
Paul Ince: "It was schoolboy defending..."
Roy Keane: "The substitutions for Liverpool won them the game"
Mkuu wangu kuwa na msimamo wako maana nimeona humu leo hamna aliyesema kwamba kocha afukuzwe zaidi yako naona wamelizika na matokeo ya leo au sio??Waambie kwanza next week kuna EPL
Mods..........again
Do something na hii lugha ya huyu Wacha1..........hiyo lugha sio ya ushindani wala si ya kishabiki......hayo ni matusi..........hakuna tofauti na mtu akiandika m.s.e.n.g.e. ............au.......... h.a.n.i.t.h.i..........what are you guys moderating?...........
Leo Fergie achezeshe washambuliaji wawili pale mbele
Upo? lol kule nyumba ya udongo imeanguka nini hakuingiliki....