Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,423
Timu bovu hilo hameni kwani wanawafaam hao au mlishakwendaga ulaya Kenge nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia jinsi ulivyo mjinga..No wonder tukipewa hata mtihani mdogo tu humu JF wewe ndo utakuwa wa mwisho..Timu bovu hilo hameni kwani wanawafaam hao au mlishakwendaga ulaya Kenge nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikae kimya tu maana nikikujibu nitawakosea heshima wazazi wako.Timu bovu hilo hameni kwani wanawafaam hao au mlishakwendaga ulaya Kenge nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwakosea wangu ntawakosea wako pia mkuu acha uoga wa kukoga nje tumbili ww.Ngoja nikae kimya tu maana nikikujibu nitawakosea heshima wazazi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtazamo mzuri mpira wa sasa ni investment kwenye quality players walau nusu ya team yote, kutegemea players wa kawaida kwa sasa tunasubir sana kuwa washindani wakuuHUU NDIO MUDA MUAFAKA, KLABU YA MANCHESTER UNITED KUACHANA NA HAWA WACHEZAJI .
Imeandikwa na Nasri Kulemba
Kwasasa klabu ya Manchester United inacheza soka la nafasi,uhuru huku wachezaji wakitumia uwezo wao binafsi uwanjani .
Hii inamana kuwa utendaji kazi wa mchezaji unaonekana dhahiri ,yaani ubora na umahili wake katika kutekeleza majukumu . Ufundi na maamuzi sahihi kwa kila mchezaji unaonekana.
Kuna baadhi ya wachezaji wa Manchester United wapo ndani ya klabu hiyo lakini sifa na ubora wa viwango vyao ni vyakawaida mno .
Ili Manchester United irudi kwenye ubora wake na ushindani kama zamani,ni lazima iwe na wachezaji wenye ubora wa viwango vinavyoendana na hadhi na timu hiyo .
Kabla ya kufanya mabadiliko ya kimfumo ni lazima timu hiyo ifanye maamuzi ya kuwachana na wachezaji baadhi na kuleta wengine wenye ubora ,United inaonekana kuwa na wachezaji wengi sana,lakini wengi wao wamekuwa hawana msaada mkubwa wa kuoisadia timu pindi inapowahitaji .
Haya ni baadhi ya majina ya wachezaji wanaopaswa kuondoka mwisho wa msimu huu .
MATTEO DARMIAN .
Manchester United ikiwa chini ya Louis van gal ,iliweza kutoa kitita cha £12 mil kumsajili Matteo Darmian. michezo ya mwanzoni chini ya Van gal aliweza kufanya vizuri sana ,lakini kadri muda unavyozidi kwenda Matteo amekua ni mchezaji wa kawaida sana,amekosa kujamini ,amekua na makosa mengi sana kwenye ukabaji.
Bahati iliopo kwake ni kuwa, kila kocha amejaribu kumpa nafasi lakini kiwango chake kimeonekana kuwa pale pale,hakipandi .
Huu ndio muda sahihi wa klabu hiyo kuachana nae.
ASHLEY YOUNG ..
Binafsi siamini katika kiwango chake ,bado ni mchezaji aliye na uwezo mzuri tu . Kinachomuangusha ni umri ,kuna baadhi ya matukio ya ufanisi anakuwa haendani nayo,nahii ni kutokana na kasi yake kuwa ni ndogo ,ule uwezo wa kukimbizana na vijana dakika 90 umepungua kwa kiasi kikubwa .
Amekua ni mzuri akiwa na mpira ,yaani mamauzi sahihi ya wapi aupeleke na zaidi ni kiongozi mzuri mwenye hamasa .
Majukumu ndani ya mfumo ndio yamekua ni tatizo kwake kwenye utekelezaji ,uwezo wa kukaba na kwenda kushambulia kwa wakati .
Huu ndio muda muafaka kuachana na Manchester United .
PHIL JONES .
Imekuepo kipindi kirefu sana pale Manchester United ,toka enzi za Sir Alex Ferguson . Jones amekua sio beki mwenye sifa za kuwa beki bora wa kati .
Kila msimu amekua ni yule yule ,haonekani kubadilika .. Manchester United inahitaji beki bora wa kati mwenye kiwango mara dufu zaidi ya Jones .
Huu ndio muda muafaka wa kuondoka .
ANKO FELLAIN .
Ni ajabu sana kuona klabu kama Manchester United inakiungo mwenye sifa kama za Fellain ,Kwanini nasema hivyo ..utamaduni wa klabu ya Man unitd ni kucheza soka la kasi na kushambulia ,kitu ambacho Fellain Hana sifa hizo . Ni mchezaji mzito ,hana kasi ,sio kiungo mbunifu na zaidi sio mpigaji mzuri wa mashuti nje ya box .
Sifa za kiutendaji ndizo zinamfanya Fellain asiwe na sifa za kuwa mchezaji wa Man unitd ..
Muda ndio huu aondoke .
ANTONIO VALENCIA ..
Alisajiliwa kama mridhi wa kuziba nafasi ya Cristioano Ronaldo aliyetetimkia Real Madrid . Hakufanya kama Ronaldo ,lakini alifanya kutokana na ubora wake ,kwasasa umri umemuacha ,kasi na umahili aliokuwa nao haupo tena .
Hana kitu cha ziada ,amefanya makubwa sana na hatokuja kusahaulika Old Trafford ,ila kwasasa haina jinsi ,anatakiwa awapishe vijana wenye uwezo na watakao kuja kuleta kitu kipya na cha zaida Old Trafford .
JUAN MATA /ANDRES PERREIRA .
Wengi watashangaa hasa kwa Mata ,lakini kiukweli huu ndio muda muafaka wa yeye kuondoka na Man unitd kuleta kiungo mshambuliaji mwenye ubora zaidi . Juan ni mchezaji mzuri ,lakini ni kama kiwango chake kimegota sehemu.
Ni kama alivyo mwenzake Perreira ,ametolewa sana kwa mkopo kwenda kujiimarisha na kuwa bora, lakini hakuna mabadiliko yeyote ya ukomavu wa soka kutoka kwake. Amegota kama mwenzake .
Wote kwa pamoja hawana kitu cha ziada kwenye ufanisi wao . Manchester United inapaswa kuleta kiungo mshambuliaji mmoja wa maana atakaye kuja kushirikiana na Lingard pamoja na Fred .
CRIS SMALLING /MARCOS ROJO
Kwa Smalling sina mengi zaidi ,ni beki wa kawaida sana,lakini amekua na Jitihada,kama Man unitd ikisajili beki bora, basi Smalling ni moja ya mabeki wanaopaswa kuondoka .
Marcos Rojo binafsi ninaamini kwenye kipaji chake,Sema majeraha yameuwa kiwango na kipaji kwa ujumla ,amekuwa hatishi tena kama zamani , ufundi na maamuzi makini yamekwenda na maji .
Kiukweli kwenye mabadilo ya kikosi ,sioni nafasi ya Rojo na Smalling .
Ni hayo tu kwa leo Mtu wangu wa nguvu ... Kuna mtu atasema vipi na Lukaku ...!! Hapana jamaa anahitaji saikolojia imara na muda tu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana nawe Sehemu kubwa Ila tunapishana hapo kwa Andrea Perreira na Marcus Rojo.HUU NDIO MUDA MUAFAKA, KLABU YA MANCHESTER UNITED KUACHANA NA HAWA WACHEZAJI .

wapigwe bei tu hawana msaada kwenye timuNakubaliana nawe Sehemu kubwa Ila tunapishana hapo kwa Andrea Perreira na Marcus Rojo.
Nafikiri tuendelee kuwaamini bado wana msaada mkubwa sana kwa timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
27
Man u haiwezi kulinganishwa na man city tuIf we want to be like Man City we must invest heavily on matured Good players walau tuwe na vikosi viwili vya ushindani
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo tunao sema labda nia ndio haipo maana financially tupo vizuri sana bila kuvunja FFP kutokana income tuliyogenerate.
.Walifanya makosa kwa Sancho, wameona wasirudie tena kosa maana United wanamnyemeleaEbu sikia hii, Real Madrid wamemnunua kinda wa Kihispania, Brahim Diaz kwa makubaliano maalumu na Man City, Ambapo endapo Madrid watamuuza mchezaji huyo kwenda klabu nyingine Asilimia 15 ya Dau lake Watapata wao Man City, Makubaliano ya Pili 15% hizo ni klabu yoyote ile isipokuwa Manchester United tu, na ikiwa Mchezaji huyo atauzwa kwenda Man United basi Asilimia 40 ya Dau lake watapokea wao Man City... Unaambiwa wameweka hivyo ili wasije kuwauzia Man United #Mahasimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ilikuwa rangi ya Jersey yao kipindi hicho inaitwa Man United ni Newton Heath
Kwa Sancho walimruhusu kuondoka lakini walimzuia kusajiliwa na United,Walifanya makosa kwa Sancho, wameona wasirudie tena kosa maana United wanamnyemelea
Sent using Jamii Forums mobile app