Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Habar wakuu
Naomba msaada wa kupata link ya game la FIFA la mwaka Jana au juzi

Tunatakiwa kusajili players ambao wataziba mapengo , sio ambao wataondoa balance ya timu. Uzuri priorities zetu zinajulikana.Nimesikia tetesi za coutinho kutakiwa na united,kwa anayeweza kuthibitisha hii taarifa tafadhali
Hao watakufa kama walivyokufa wengine waliopita...NOW WE attack,,,ATTACK,,,, WE don't PARK a BUS any more
Em elezea kidogoOle Gunnar solskjaer amatembulishaa mfumu wa upigajii pass uwanjani unaoitwaa *PASSING MATRIX*
Na alianzaa kuutumia kwenye mechi dhidii ya Newcastle
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game tukitaka kushinda tutumie advantage ya kuwazidi katikati
asee kumuua spurs unatakiwa uwe na viungo kama KANTE NGOLO, JORGINHO,...
Ndo upoje huo?Ole Gunnar solskjaer amatembulishaa mfumu wa upigajii pass uwanjani unaoitwaa *PASSING MATRIX*
Na alianzaa kuutumia kwenye mechi dhidii ya Newcastle
Sent using Jamii Forums mobile app
hao viungo walikuwepo Stanford Bridge na walisawazisha kwa hisani ya refa mbele ya viungo hao Matac PP na Herrera unaswali kama hakuna tukutane j2asee kumuua spurs unatakiwa uwe na viungo kama KANTE NGOLO, JORGINHO,...
kwa kiungo kama Matic, Pogba ..mbele la Sissoko, Sanchez, Dele alli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice..umetisha mkuu,,Hii game tukitaka kushinda tutumie advantage ya kuwazidi katikati
United ipo vizuri kuliko Spurs katikati, hususani kipindi hiki ambako hawana Dembele, Wanyama na wanategemea kumtumia Sissoko mchezaji ambaye dirisha lililopita walipanga kumuuza kutokana na kiwango duni.
Ninaamini hii game OGS atashinda akijipanga kwenye kitovu cha uwanja
Kwa Spurs sioni nani wa ku deal na mid 3 ya Matic, Herrera na Pogba.
Harry Kane ambaye ndiye mchezaji tishio kwa timu pinzani Spurs inapocheza, hatapata huduma nzuri pindi kiungo yao inapo struggle
Beki yao yenye Vertonghen /Aldewered/ Sanchez ni nzuri lakini sidhani kama inaweza ku cope na pace ya Rashford, Lukaku na Martial. Poch atajichanganya zaidi kama akimpanga yule dogo beki wa kati kwa kiburi cha kumuadhibu Alderewered aliyegoma kusaini mkataba wa muda mrefu.
Spurs wanaweza kuiadhibu United kwa Umaridadi wa mtu kama Ericksen na Kane na UBOVU WA BEKI HUSUSANI YA KATI YA UNITED. Nje ya hapo sioni Spurs wakichomoka.
Rashford na Martial wakiacha utoto (wakati flani), wakiacha uchoyo wa kutoa pasi, wakiwa na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi hakuna wa kuwazuia kuifunga Spurs.
Wembley has never felt like home for Spurs once they play elite clubs
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs si kawafunga gemu mbili msimu huu??..au unawaongelea Kante,Jorginho gani??asee kumuua spurs unatakiwa uwe na viungo kama KANTE NGOLO, JORGINHO,...
kwa kiungo kama Matic, Pogba ..mbele la Sissoko, Sanchez, Dele alli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game tukitaka kushinda tutumie advantage ya kuwazidi katikati
United ipo vizuri kuliko Spurs katikati, hususani kipindi hiki ambako hawana Dembele, Wanyama na wanategemea kumtumia Sissoko mchezaji ambaye dirisha lililopita walipanga kumuuza kutokana na kiwango duni.
Ninaamini hii game OGS atashinda akijipanga kwenye kitovu cha uwanja
Kwa Spurs sioni nani wa ku deal na mid 3 ya Matic, Herrera na Pogba.
Harry Kane ambaye ndiye mchezaji tishio kwa timu pinzani Spurs inapocheza, hatapata huduma nzuri pindi kiungo yao inapo struggle
Beki yao yenye Vertonghen /Aldewered/ Sanchez ni nzuri lakini sidhani kama inaweza ku cope na pace ya Rashford, Lukaku na Martial. Poch atajichanganya zaidi kama akimpanga yule dogo beki wa kati kwa kiburi cha kumuadhibu Alderewered aliyegoma kusaini mkataba wa muda mrefu.
Spurs wanaweza kuiadhibu United kwa Umaridadi wa mtu kama Ericksen na Kane na UBOVU WA BEKI HUSUSANI YA KATI YA UNITED. Nje ya hapo sioni Spurs wakichomoka.
Rashford na Martial wakiacha utoto (wakati flani), wakiacha uchoyo wa kutoa pasi, wakiwa na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi hakuna wa kuwazuia kuifunga Spurs.
Wembley has never felt like home for Spurs once they play elite clubs
Sent using Jamii Forums mobile app
asee kumuua spurs unatakiwa uwe na viungo kama KANTE NGOLO, JORGINHO,...
kwa kiungo kama Matic, Pogba ..mbele la Sissoko, Sanchez, Dele alli..
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahaUhai wa Spurs unategemea sana uhai wa Eriksen uwanjani ukimpoteza huyu hawa wengine ni rahisi kuwazima.
Movement za huyu jamaa ni kama za Modric pale Madrid lazima umtyt huyu kina Sissoko na Heung min son wanakabika
Sent using Jamii Forums mobile app