Daaa Sanchez utadhani amesahau kucheza mpira sasa anajaribu kujikumbushakumbusha. Hongera sana kwa timu yetu kucheza vizuri na kupata ushindi mzuri sana. Angalau Leo clean sheet imepatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha safi kabisaKaribuni Kibandani umiza kwetu.
Huna kiingilio, vaa jezi ya Pogba View attachment 984278
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo amewekwa benchi tutapata tabu sanaaa...huyu dogo anazunguka uwanja mzima kukaba mipira anatufanya tuone mechi rahiiiisi, sasa leo hayupo tumemuacha Martial 'mvivu wa mwisho' hawezi/hajui kukaba 'utadhani ana undugu na kibendera cha kule kushoto, habanduki pale' na hutakaa umuone anapiga krosi hata moja dakika zote 90, Angalao Shaw atapiga krosi 5.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu si alifunga na Cardiff ndugu?Toka Ole kaingia Rashford katupia 3, Martial katupia 0. Ukumbuke pia Martial alicheza dakika 90 mechi zote kasoro leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia akatengeneza dhidi ya Huddersfield?Toka Ole kaingia Rashford katupia 3, Martial katupia 0. Ukumbuke pia Martial alicheza dakika 90 mechi zote kasoro leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu Jana ilicheza vizuri sana kulingana na jinsi adui alivyokuwa amejiandaa na kukamia. Labda tu kuna nafasi kama tatu hivi tulikosa magoli ya wazi,hiyo ni hatari sanaAsanteni ila mechi na TOT tukicheza hivi mhhh
Mnapango Wa kumuuza hazard pekee?Hongereni wakuu.
Sisi Chelsea atuna mpango na uefa kwa sasa.
Kazi kwenu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo si mchambuzi ni takataka inayopenda kuongelea masuala ya mpiraJamie Carragher believes that the Magpies might be able to expose Man United’s defensive fragilities because of the genius of their own manager, Rafael Benitez.
Dua la kuku
Noma sanaHuyo si mchambuzi ni takataka inayopenda kuongelea masuala ya mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu lile guu la mpaka machoni pa mtuBailly mkuu muda wowote anakuchoma kuna faulo alisababisha kwenye 18 alikiwa anaokoa kona refa alichuna tu lilikuwa tuta lindelof anamsoma mtu anaemkaba hatumii nguvu kubwa kama Rio tu alivyokuwa akifanya.
Valencia hana jipya ni mmoja ya wachezaji wa kuachwa miaka yote end product yake ni mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Musiseme miaka yote labda uniambie kuanzia msimu iliopita lkn ukisema miaka yote manake toka amesajiliwa United kitu ambacho si sahihiKabisa mkuu hana maana tena.
Mkuu muombe samahani martialToka Ole kaingia Rashford katupia 3, Martial katupia 0. Ukumbuke pia Martial alicheza dakika 90 mechi zote kasoro leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester nzima hakuna fundi kama MartialMkuu tujitahidi kuita koleo koleo sio mwiko mkubwa. Tukubali kukosoa mapungufu yanayoonekana wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwanini watu huwa hawa apreciate mchango wa mtu kwa siku za nyumaMusiseme miaka yote labda uniambie kuanzia msimu iliopita lkn ukisema miaka yote manake toka amesajiliwa United kitu ambacho si sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app