Alikuwa ameenda PARIS mkuu na alivorudi kocha alisema kuwa alikuwa amepata food poisoning kidogo,so hakuwa tayari kwa training na mechi..Dogo hakwenda zoezi siku ya Christmas au moja kabla ya Christmas, silent assassin akampa makavu
Dogo ana utoto mwingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki hapa mkuuAlikuwa ameenda PARIS mkuu na alivorudi kocha alisema kuwa alikuwa amepata food poisoning kidogo,so hakuwa tayari kwa training na mechi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona ole gunner ndo aliyasema haya mwenyewe kwenye press!!..??
Yeah ndivyo ilivyoripotiwa awaliMkuu mbona ole gunner ndo aliyasema haya mwenyewe kwenye press!!..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuiua Man United,then Pogba akuonyeshe kazi..Hiv leo tunashinda kweli mana nataka kubeti. Kama vp niiue Man U nipate hela. Najali pesa kuliko cclub mana hawanijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la usajili huyu dogo nilikuwa namtamani sana aje otNaona wenzetu Chelsea wameanza usajili Wa dirisha kubwa mapema kabisa kwa kumsajili Christian Pulisic Wa Dortmund
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Morata au Giroud mmoja anatakiwa kusepa hapo.Wamesajili Pulisic, a United childhood fan
Inabidi United wafanye mapema wasisubiri mpaka dakika za mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Dogo ni winga na namba kumi,so watakuwa wanaandaa mbadala Wa willian
Utakuwa mbadala wa Hazard. Hazard lazima aondoke msimu huuHuyo Dogo ni winga na namba kumi,so watakuwa wanaandaa mbadala Wa willian
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana pia asee,ila Dogo hawezi ziba hilo pengo hata kidogo asee.