Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole: “I’ve not had time to sit down and speak with him (Sanchez) in that much detail but he’s eager to get back on the pitch, at it seems to me he is a workaholic.” #mufc [MEN]
 
Nadhani tunahitaji zaidi namba 4 kuja kusaidiana na hawa akina Jones, Baily na Lindelof.

Nakubaliana nawe tunahitaji mshambuliaji Mmoja zaidi, namba 9/10 kuja kutengeneza Pacha na Lukaku.

Hatuna Shida na Viongo, kiungo cha Chini wala cha Juu, hili eneo hata Liverpool hawatufikii.

Kikubwa ni kuimarisha Safu yetu ya ushambuliaji.

Kwa soka la leo Naona Sanchez akirudi Katika Fomu yake.

Tumeanza kumuona Pogba halisi ambaye hana Majukumu, Pogba aliye huru kuutawala mpira.
Bado tunahitaji

4 na 5

6

2

9

Huo ndo ugonjwa wetu mkubwa.
 
Nadhani tunahitaji zaidi namba 4 kuja kusaidiana na hawa akina Jones, Baily na Lindelof.

Nakubaliana nawe tunahitaji mshambuliaji Mmoja zaidi, namba 9/10 kuja kutengeneza Pacha na Lukaku.

Hatuna Shida na Viongo, kiungo cha Chini wala cha Juu, hili eneo hata Liverpool hawatufikii.

Kikubwa ni kuimarisha Safu yetu ya ushambuliaji.

Kwa soka la leo Naona Sanchez akirudi Katika Fomu yake.

Tumeanza kumuona Pogba halisi ambaye hana Majukumu, Pogba aliye huru kuutawala mpira.
Mkuu matic akikutana na watu shapu tunaumia lazima tupate kiungo tena pia nne na tano kumbuka bailly kiasili ni 3 lazima kupata mtu kama yule bek wa napoli
 
Hofu yangu ni Chelsea wakitibu Tatizo Lao la mmaliziaji wa Kazi Nzuri inayofanywa na timu nzima.

Cost alikuwa Mtu Sahihi kwa Mpira wanaocheza Sasa.
ndio tunavyoomba mkuu lakini tatizo tunaowania nafasi msimu huu ni wengi.
arsenal msimu huu wameamka na wewe mwenyewe umeshuhudia wameweza kupambana mechi 20 bila ya kupoteza.

chelsea na wao licha ya kuwa na tatizo la umaliziaji lakini bado wana kikosi chenye nguvu ya kupigania nafasi ya 4.
sarri anafahamu fika kama hatopata nafasi ya 4 kibarua hana.
solution yetu ya kwanza ni kushinda mfululizo kama liverpool waliyofanya round 1.
 
Mkuu matic akikutana na watu shapu tunaumia lazima tupate kiungo tena pia nne na tano kumbuka bailly kiasili ni 3 lazima kupata mtu kama yule bek wa napoli
Yeah Sure, namba mbili Hatuna ujanja Lazima tusajili mchezaji mzuri Katika Hii Nafasi, Matic kulikuwa na Shida kwa Kocha.

Ila Hakuna kiungo mgumu Katika dimba la Chini kumzidi Matic, ni Fundi haswa.

Mifumo na Falsafa za Josse Mou Ndio zilizomfanya Matic aanze kuflop.

Kumbuka Msimu wa mwisho aliokuwa Chelsea.
 
Mshaanza kupamba mavi maua
Yeah Sure, namba mbili Hatuna ujanja Lazima tusajili mchezaji mzuri Katika Hii Nafasi, Matic kulikuwa na Shida kwa Kocha.

Ila Hakuna kiungo mgumu Katika dimba la Chini kumzidi Matic, ni Fundi haswa.

Mifumo na Falsafa za Josse Mou Ndio zilizomfanya Matic aanze kuflop.

Kumbuka Msimu wa mwisho aliokuwa Chelsea.
 
Nadhani tunahitaji zaidi namba 4 kuja kusaidiana na hawa akina Jones, Baily na Lindelof.

Nakubaliana nawe tunahitaji mshambuliaji Mmoja zaidi, namba 9/10 kuja kutengeneza Pacha na Lukaku.

Hatuna Shida na Viongo, kiungo cha Chini wala cha Juu, hili eneo hata Liverpool hawatufikii.

Kikubwa ni kuimarisha Safu yetu ya ushambuliaji.

Kwa soka la leo Naona Sanchez akirudi Katika Fomu yake.

Tumeanza kumuona Pogba halisi ambaye hana Majukumu, Pogba aliye huru kuutawala mpira.
Hivi kwa nini tusimrudishe chicharito January? Nahisi hela yake itakuwa si kubwa sana na ana muda kama Wa miaka 2 hadi mitatu ya kucheza kwa kiwango kizuri. Manake kutafuta quality strikers wengine kwa January ni ngumu sana
 
Hafu timu naona kama kasi yake bado hairidhishi sana japo wachezaji wako free na asili ya wachezaji wetu wengi Wa mbele ni viberenge, yaani hawakimbii kama liverpool, city au chelsea hasa wanapovuka katikati kuelekea kwa adui au nyie mnaonaje!?
 
OLE
Screenshot_20181227-005028.jpg
 
Hafu timu naona kama kasi yake bado hairidhishi sana japo wachezaji wako free na asili ya wachezaji wetu wengi Wa mbele ni viberenge, yaani hawakimbii kama liverpool, city au chelsea hasa wanapovuka katikati kuelekea kwa adui au nyie mnaonaje!?
Sio kila mechi tutacheza na intensity ile ile..Bado nafasi ya timu kuimprove ipo so tuendelee kuisapoti timu
 
Yeah Sure, namba mbili Hatuna ujanja Lazima tusajili mchezaji mzuri Katika Hii Nafasi, Matic kulikuwa na Shida kwa Kocha.

Ila Hakuna kiungo mgumu Katika dimba la Chini kumzidi Matic, ni Fundi haswa.

Mifumo na Falsafa za Josse Mou Ndio zilizomfanya Matic aanze kuflop.

Kumbuka Msimu wa mwisho aliokuwa Chelsea.
Nakubaliana na wewe, hakuna kiungo imara kama Matic kwenye dimba la chini

Mfumo uliokuwepo ulimpa shida kila mchezaji pale United

Solskjaer ataendelea kumtegea Matic, na atakayekuja atamtumia sana Matic
 
What Solskjaer said about Pogba after 3-1 win over Huddersfield

Manchester United’s interim manager, Ole Gunnar Solskjaer, has said fans were now seeing the Paul Pogba he knows from his time in charge of the club’s reserve team, after the midfielder scored twice in a 3-1 win over Huddersfield on Boxing Day.

Solskjaer’s reign as caretaker manager began with a 5-1 win at Cardiff on Saturday, and his dream start continued with a resounding welcome by the Old Trafford faithful.

Nemanja Matic scored the opener, before Pogba’s brace in the second half.

Solskjaer coached Pogba as a youngster; before the midfielder left for Juventus and United had to pay a then world record £89 million to bring him back in 2016.

“That’s the Paul I know. The Paul I’ve known since he was in the reserves and youth team with me.

“He has always been a happy boy; he’s always had a big smile on his face.

“When you score a goal, or two, of course you are happy.

“But when you play football for Man United you should be happy. Of course, it’s a responsibility, but it’s an honour and a privilege.

“Paul loves playing for this club. He’s a Man United boy through and through, a kid who knows what it means to play for Man United,” Solskjaer told Sky Sports.
 
Back
Top Bottom