Sub ni kumtoa Lingard na kumwingiza aidha Fred, Pereira au MataNasubiri kuona sub ya OGS itakuwaje
Sub ni kumtoa Lingard na kumwingiza aidha Fred, Pereira au MataNasubiri kuona sub ya OGS itakuwaje
Kunguru yule muoga sanaAchana na yule mbambaishaji wa kireno hajui lolote tofauti na kujihami.
Ha ha ha lazimaNahic Mou na yy atakua anaangalia hii mechi
Alafu speedStyle ya mpira nilikuwa inaharibiwa No, Leo ni mwendo wa one touch.
Hivi mnatoaga wapi hizi picha? Ha ha haMourinho muda huu. View attachment 974819
Yaani mimi, mpaka hapa sijaona wa kumfanyia subNasubiri kuona sub ya OGS itakuwaje
Mbwembwe tu lakini Pogba ni mzito kama yule beki wa zamani Mangala wa Manchester United, muda ni rafiki na mwalimu tosha.Narudia tena ni kichaa pekee anaweza kumuweka Paul Pogba nje...
Naamini Mourinho huko aliko haamini anachokiona
Wale mashabiki wa morinho wanatamani timu ifungwe wapate kuchamba hahahaha, chungulieni ivo ivo leo tunaua mtu

Kwa nini au kwa sababu the biggest club in the world "Manchester United" imeshinda?Kesho mji utakuwa na vurugu sana.
Paka akimuotea panya anavyomuonea ni shida.Leo pogba anapiga hadi No look pass!
United km hayupo vizuri, EPL inadoda saana hata mabanda umiza yanapooza.Kesho mji utakuwa na vurugu sana.
Acha kuja kutuvurugia sherehe. Endelea kupiga ramli na hasira zako za kuchaniwa mkeka Leo . Maana ulijia hizi ni enzi za Mmakonde mwenzenu mkawa mnajichinjia tu kwa Muhindi.Mbwembwe tu lakini Pogba ni mzito kama yule beki wa zamani Mangala wa Manchester United, muda ni rafiki na mwalimu tosha.
Ngoja tuone katika mechi 5 zijazo atafanya nini hasa huyo Pogba sharobaro.


MOU Out.Cardiff pass 100+ Man U pass 380+.
Ili uwe na uhakika wa mechi lazima uwe na uhakika wa kuwa na mpira kwa muda mrefu.