Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,527
Hii ni kweliKocha ni lazima awe na mbinu thabiti za kukabiliaana maadui tofauti,na wakati mwingine Mwl inabidi ubadili mbinu kulingana na adui unaecheza naye. Ndo hiyo ninayoongelea Mimi. Mfano Mzee ferg alikuwa ni msomaji mzuri sana Wa adui,kuna kipindi bila kutegemea unakuta umewekewa giggs namba 6 wakati ulijiandaa kwa kucheza na fletcher au scholes
Kuna siku SAF alipanga mabeki 7 uwanjani dhidi ya Arsenal, Arsenal walilala 3 siku hiyo