Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hizo laini nilizopigia msitari ziko very contradicting, hebu soma uone kama unapata logic.





Anyway it's a time for our Game.... Hahahaha Kama nakuona ulivyofura kwa kumuona Double P akiingia moja kwa moja kwenye first eleven baada ya kuchomeshwa mahindi na Ibilisi yule wa kireno.


NB: Ni Mgonjwa wa Milembe tu ndio anaweza kumuweka benchi Double P. View attachment 974759
Wala hakuna contradiction hapo. Hakuna anayetaka Pogba asicheze Bali ninachokisema mimi pamoja na watu wote walio timamu ni kwamba tunataka pogba ajitume kama wachezaji wengine. Ndicho hata carrick alichozungumzia kuhusu wachezaji kuwa na thamani ya kuchezea Man U. Simchukii pogba ndio maana hata kuna mdau humu aliuliza kwamba ungekuwa ni kocha Wa Man U sasa hivi ungepangaje kikosi? Ktk list ya kikosi nloweka mimi pogba alikuwepo. Ishu ni moja tu ajitume asipojituma awekwe benchi!
 
Back
Top Bottom