Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu acha tu Mou ni mgalilaya , Sijapata kuona mzungu Mwenye nongwa na roho mbaya kama yule.


Hivi unakumbuka alichomfanyia Juan Mata Chelsea???
 
Sasa mbona Mourinho Mwenye CV murua team imemshinda, mpaka anatuachia team, vijana wana 0 goal difference.


Van Gal pia Mwenye CV yake mbona team ilimshinda??? Msitake kujifanya mna machungu sana. Kwa hali iliyonayo Manchester united kocha yoyote sawaaaaaaaa ilimradi atuvushe.


NB: KAMA AKIZINGUA PIGA CHINI
 
Yaani mkuu tatizo Mimi na morinyo haikuwa uwanjani..tatizo ni nje ya uwanja.

Anajitapa sana.anapenda ugomvi muda was kazi. Hana administrative skills kuelewana

Migogoro Ofisini haitakuja imsadie..anagombana na watumishi, wachezaji, makocha wenzie. Leo Liverpool wamemmwaga na hatasahau
Umenichekesha saaaaaaaaana
 
Nimeona alichoandika Fletcher ni sawasawa na nilichokuwa nafikiria.

Analalamika kwamba Man Utd wanatakiwa kutafuta kocha permanent sasa hivi, kwa sababu kutafuta kocha leo wa kumaliza msimu, halafu utafute kocha mwingine ni sawa na kupoteza miaka miwili kwa kufanya rebuilding.

Bora aje kocha sasa hivi, akae na hii timu, ikifika mwishoni mwa msimu anakuwa ameshaijua vizuri na ni rahisi kufanya transfers kiangazi kwa sababu tayari kakaa na timu na anaijua.

Nimeona ni bonge la fact.
 
Man. Tulikuwa tunampenda Sana kocha wetu. Liverpool wamemfukuza kazi. Walaaniwe. !!!!
 
Daaa yaani imefikia kipindi Sadio Mane anamgeuza mchezaji wetu Lukaku kama zuzu fulani hivi lisilojielewa. Ukicheki hapo Sadio Mane amemsukumia makusudi Lukaku kwenye offside position ili shambulizi liwe limeisha. Na kweli lukaku wetu kwa sababu hakuwa focused ktk anachokifanya akaingia mtegoni na akafunga ikawa offside.
 

Attachments

Tatizo hapo ni kwamba kumpata kocha mzuri Wa kudumu kwenye kipindi hiki ni vigumu sana labda wamchukue zidane/Wenger/conte. Mana ndio makocha wenye sifa wasio na timu. Ambapo kati ya hao zizou Mimi huwa ninamashaka nae zaidi
 
Katika Jambo muhimu wamefanya man ni kulifukuza li Jose.Niliumia sn Jpili aisee
 
Tatizo hapo ni kwamba kumpata kocha mzuri Wa kudumu kwenye kipindi hiki ni vigumu sana labda wamchukue zidane/Wenger/conte. Mana ndio makocha wenye sifa wasio na timu. Ambapo kati ya hao zizou Mimi huwa ninamashaka nae zaidi

Zizzou bado sana kuweza kuimanage Man Utd.

Nahisi wanafanya hivyo ili kumsubiri Pochetino.
 
Ah! Wapi..
You said VVD is a Netherland's Phil Jones!

Since that day I've Confirmed that you know nothing about football...
Yes, VVD is the Netherland's phil Jones and u can't change that. Has 24 appearance since 2015 and he only getting chance coz this is the worst Dutch side ( National Team) ever.
 
‪Zinedine Zidane will replace Mourinho as Manchester United manager. Negotiations happened a month ago. Announcement should be made in the next few days

#mufc [antena 1, Sport_Witness]‬
 
Angekuwa mjanja angejiangusha apate faulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…