Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Halafu kuna hawa wengine wanasema José apewe anachotaka😀 si alitaka CB's akapewa Lindelof na Bailly? Kashindwa kuwatumia.

Kanunua Fred ameshindwa kumtumia,Pogba hivyo pia.

Sijui wanataka apewe nini?
Mkuu kwa team yenye hadhi kama united haipaswi kuwa na uvumilivu kwenye masuala ya kipuuzi. Mou ingebidi afukuzwe kabla ya msimu huu kuanza .

Mimi na watu wadau wachache sana humu ndani tuliongea saaaaana na kujua tangu mwanzo uelekeo wa team Kama jamaa hatafukuzwa. Leo mwezi December team ina goal difference 0 halafu mtu anasema kocha apewe muda. Sijui hawa mashabiki mpaka team ishuke daraja ndio wataamini kuwa kocha ni mbovu.
 
Kitu ambacho wanashindwa kunfukuza mourunho ni vile ambavyo alikuwa wazi ni kipi anataka ili kuboresha timu alihitaji watu wa nne mbele alisema hana shida

Bodi inaumia sana wanatamani kumfukuza lakini mkononi wana majina ya watu chaguo la kwanza aliwahitaji

Binafsi sioni kama kumfukuza mourinho kunaweza kubadili sura na uchezaj maana city na liverpool tayar washakimbia unamfukuza kocha ili iweje?

Tujipange msimu ujao kama watampa pesa au wamfukuze juu yao

Waharibifu wa timu ni uongozi mzima wa unuted maana wameshindwa kujua timu inashuda gani toka babu astaafu hamna natural bek 2 na 3 wa maana hata kama wanataoa hela na wao hawaoni timu ikicheza?

To be honest, simwoni Mourinho akiweza kukimbizana na hii kasi ya Guardiola.

Kwa sababu ninachokiaona mpaka sasa ni mvutano kati yake na utawala na wachezaji, ingeweza kuwa rahisi kama hawa wachezaji alionao wako kwenye good terms, i.e hata kama matokeo yanakuwa siyo mazuri basi yawe matokeo yao wote, wawe wamoja, hapo hoja ya kuziba mapengo kwa wachezaji hao 4 ingelipa, ila kwa sasa unaanza kujiuliza hao wa 4 wataziba nafasi zipi? Maana kiuhalisia nafasi kama ya Pogba, Lukaku, Sanchez na Fred (3 kati ya hizo) zinahitaji replacement.

Baada ya napo ndo uje kuangalia hayo mahitaji ya wachezaji 4 ambayo yalikuwa identified kabla ya msimu ambapo kina Pogba walikuwa bado wako kwenye track sahihi.

Mimi ninaona, the right way ni Mou kuondoka, aje kocha anayeweza kurudisha unity kwenye locker rooms, na awe mwenye vision na philosophy hitajika ya timu, huyu kama ndo apewe muda wa kusuka timu, kwa uwezo wa kifedha wa Man Utd na influence ya timu ni rahisi kuirudisha juu, ila unity ni mamba one priority.
 
BREAKING: manchesterunited have sacked Jose Mourinho.
skysports-20181218-0001.jpeg
 
Here is an odd coincidence:

Mourinho left Real Madrid a month after the 4-1 defeat by Klopp’s Borussia Dortmund in April 2013.

Two years later Mourinho was sacked at Chelsea a month after the traumatic 3-1 defeat by Klopp’s Liverpool at Stamford Bridge during which the travelling fans sang “you’re getting sacked in the morning” and the wheel turned decisively against him.

Mou anaongoza sack race. I hope LFC kesho tuta inflict more damage.
Klopp Effect
 
To be honest, simwoni Mourinho akiweza kukimbizana na hii kasi ya Guardiola.

Kwa sababu ninachokiaona mpaka sasa ni mvutano kati yake na utawala na wachezaji, ingeweza kuwa rahisi kama hawa wachezaji alionao wako kwenye good terms, i.e hata kama matokeo yanakuwa siyo mazuri basi yawe matokeo yao wote, wawe wamoja, hapo hoja ya kuziba mapengo kwa wachezaji hao 4 ingelipa, ila kwa sasa unaanza kujiuliza hao wa 4 wataziba nafasi zipi? Maana kiuhalisia nafasi kama ya Pogba, Lukaku, Sanchez na Fred (3 kati ya hizo) zinahitaji replacement.

Baada ya napo ndo uje kuangalia hayo mahitaji ya wachezaji 4 ambayo yalikuwa identified kabla ya msimu ambapo kina Pogba walikuwa bado wako kwenye track sahihi.

Mimi ninaona, the right way ni Mou kuondoka, aje kocha anayeweza kurudisha unity kwenye locker rooms, na awe mwenye vision na philosophy hitajika ya timu, huyu kama ndo apewe muda wa kusuka timu, kwa uwezo wa kifedha wa Man Utd na influence ya timu ni rahisi kuirudisha juu, ila unity ni mamba one priority.
Kafukuzwa tayar
 
Angalia main strikers Wa Belgium ni kina nani halafu ndio utajua jamaa pale front yeye bado ni mfalme. Halafu bado narudi pale pale demand ya matokeo ya Belgium huwezi fananisha na ujerumani,Brazil,Argentina hata na uingereza wenyewe. Huko ukizingua wanakuzingua. Sasa Belgium hata akizingua nani Wa kumtisha aliyepo benchi?
Hao ujerumani ,Brazil,Argentina hakuna anauetoa sauti kwa Belgium tena lukaku ndio mfungaji
 
Kama hizi habari ni Kweli kuwa huyu mpuuzi kafukuzwa ni faraja kwangu na mashabiki wote waliokuwa wanateswa na huyu mwanaharamu.

Tumetukanwa saaaaaaana humu. Mpaka inafikia team kuwa na 0 goal difference ni hatari sana.

Naomba team ya man u yenye hadhi kimafanikio kama Madrid , Barcelona etc , iwe na tabia ya kutovumilia makocha. Kocha ukizingua piga chini kabla ya kuielekeza Qibra team.

Welcome Kocha yoyote hata awe King Kibadeni Mputa ili mradi atupe mafanikio, MGONJWA HAKATAI DAWA.
 
Back
Top Bottom