The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,126
- 102,726
Naona mnashambuliwa hatari! Ila bado 0-0Kama kuna shabiki bado anajua huyu kocha anatupeleka wapi aje aniambie hapa.
Naona mnashambuliwa hatari! Ila bado 0-0Kama kuna shabiki bado anajua huyu kocha anatupeleka wapi aje aniambie hapa.
Subira mkuu tunashindaKama kuna shabiki bado anajua huyu kocha anatupeleka wapi aje aniambie hapa.
Ila bado kwa United hii, sion progress.
Narudia tena kusema mtu wa kumtoa pale kati ni Matic na hakuwa pogba.
Umekula maharagwe ya wapi wewe..
Narudia tena kusema mtu wa kumtoa pale kati ni Matic na hakuwa pogba.
Smaling majeruhiKocha muhuni kamuweka baily dakika za mwisho
Ila bado kwa United hii, sion progress.
Mkuu mbna game ipo open sana.ni presha tu ila tunashinda
Tutapata aibu leo.
uko pamoja na mimi mkuuMkuu mbna game ipo open sana.ni presha tu ila tunashinda
Nakuunga mkono 100% ila nadhani Martial alikuwa na injuryNot bad napata hisia tunashinda hii game cha kufanya toa lukaku na lingard ingiza martial na mata
Matic huyu huyu kutoka nchi ya Serbia Mkuu ?
Narudia tena kusema mtu wa kumtoa pale kati ni Matic na hakuwa pogba.