Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,030
- 51,571
Kumekuwa na watu waliamini kuwa pogba ndio man utd na man utd ndio pogba.
Hizi mechi mbili zimedhihirisha tofauti kabisa na inawezekana kweli jamaa ni kirusi kwa mujibu wa mou.
Mkuu kung'aa kwa mchezaji si kwamba ukinunua kwa bei ndogo au kubwa watang'aa ni kamali tu unaweza kutoa hela ndogo asifikie viwango vilevile hela ndefu ni bahat tuUnajua Torreira kanunuliwa bei gani? Unajua guendouzi kanunuliwa bei gani? Au unajua kante alinunuliwa bei gani?? If yes then jibu unalo mkuu
Ni kweli mpira haukuwa unachelewa jana miguuni kwa watu tunahitaj viungo wa kuachia mipira harakaMh ngoja tuone mechi zijazo kwanza. Ni mapema ku judge kwa sasa
Yule babu apumzike tu hata kunyumbulika hawezi kifupi ile ni Hardware hamna kitu mule, Dalot is the right man
Unajua Torreira kanunuliwa bei gani? Unajua guendouzi kanunuliwa bei gani? Au unajua kante alinunuliwa bei gani?? If yes then jibu unalo mkuu
Liverpool sema watakuwa na hasira ya kuondolewa UEFA itakuwa balaa
Man Shitty ama Loserfools?!?
Mwaka huu mgumu kwa kweli. Ila ni heri Shitty wachukue kuliko hao Loserfools.
Leaders ?Hahaha, EPL leaders will go through.
Take note of that.
DiscussUnited is Herrera
Herrera is United
Next game nadhani ni Liverpool..kinachotakiwa ni kushinda tu hakuna namna ..nipigieni Klopp tu ili na yeye atulizwe..
Mou ana uwezo huo ..come on Man u!
Huu unafki ni wa kiwango cha Leonel MessiNext game nadhani ni Liverpool..kinachotakiwa ni kushinda tu hakuna namna ..nipigieni Klopp tu ili na yeye atulizwe..
Mou ana uwezo huo ..come on Man u!
Hawawezi kufuzu Napoli sio AsenoHahaha, EPL leaders will go through.
Take note of that.
Leaders ?
Not Champions ?
Leaders ?
Not Champions ?
Yaani mashabiki wa Liverpool vichekesho yaani wanafurahia kuwa wanaongoza wakati mambo bado kabisa
Duh.... Kweli mpira huuNext game nadhani ni Liverpool..kinachotakiwa ni kushinda tu hakuna namna ..nipigieni Klopp tu ili na yeye atulizwe..
Mou ana uwezo huo ..come on Man u!
Phil matatizo yake anaweza kupiga msuli wa maana sana game hii kisha game ijayo aidha akatoa boko la nguvu au akatoa penalty au akajifunga mwenyewe. Jana pana kosa alilifanya ana ziba njia na kuegemea de gea aje waqt nyanda alikuwa mbali.It takes time kidogo timu ikae sawa. Wote watakuja vizuri tu.