Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Japo alifunga kagoli hakuwa na madhara mkuu ile mech ilikuwa ya mata nakwambia angalia ambavyo angetembea maana herrera alipiga mzigo sana jana tulihitaj kiungo mnyumbulifu kwa ajili ya martial na rashford

Mechi ya pili hii namuona rashford kaanza kucheza kiutu uzima.
 
Hivi Herrera hakuwa Man of the Match?

Yule dogo wampe mkataba mpya na ukapteni
 
Katika wachezaji ambao wanapaswa kuondoshwa United Valencia ni mmojawapo he has nothing to offer kwenye kushambulia & too predictable

Wachezaji kama hao wakibaki tutaendelea kulaumu makocha kila siku
Point bora kuanza upya.
 
Angecheza Mata tungefungwa mapema tu, jesse alikua anatimiza majukumu kwa asilimia zote kitu ambacho Mata asingeweza.
 
wacha uwongo wako wewe......huna timu hiyo kwasasa zile zama za wenger zilipitaga nafikiri wewe bado unaota
 
Hii mechi ilikuwa ya valencia over dalot mata over lingard na fred angafanyiwa sub
angecheza valencia sasa hivi mungekuwa munaugulia kipigo..........yuleameshachoka sasa amekuwamzito hana tena ilekasi yake iliyozoelekani muda sasawakurudi kule WIGAN ATHLETICS
 
angecheza valencia sasa hivi mungekuwa munaugulia kipigo..........yuleameshachoka sasa amekuwamzito hana tena ilekasi yake iliyozoelekani muda sasawakurudi kule WIGAN ATHLETICS
Acha wewe mara ngapi dalot kakutwa nje ya nafasi yake kona zote zimetokea upande wake ndo upande uliokuwa mbovu valencia angakuwepo ule ujinga usingetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…